Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Wewe ni MjingaHizo taarifa ninazo kabla ndo maana nikaishauri serekali imuhudumie Lissu kila kitu magereza wasipokee chochote kutoka kwa watu wa Chadema kumpa Lissu wanaweza kumuua ili waichonganishe serekali na wananchi
Ndio aiseeMbona hii ni Taarifa mbaya sana.
Duhhh ! Mungu amlinde kiongozi wetuTAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuujulisha umma kuwa kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa zinazodai kuwa Mhe. Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuna mipango ya kuwekewa sumu akiwa kizuizini.
Taarifa hizi zimetolewa usiku huu wa leo, tarehe 02 Julai 2025, kutoka kwa vyanzo mbalimbali vya kuaminika. Miongoni mwa waliotoa kauli kuhusu suala hili ni Mhe. David McAllister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya (European Parliament), ambaye kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter) ameandika:
"Nina wasiwasi mkubwa kuhusu ripoti za kutisha za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani wa Tanzania Tundu Lissu akiwa kizuizini."
Chadema inachukulia taarifa hizi kwa uzito wa hali ya juu. Hili si jambo la kupuuzia, hasa tukikumbuka kuwa si mara ya kwanza kwa viongozi wa Chadema kulengwa na vitisho, mashambulizi au uonevu wa aina mbalimbali, huku taarifa nyingi tulizowasilisha kwa mamlaka husika zikipuuzwa au kutochukuliwa hatua yoyote.
Tunazitaka mamlaka husika, likiwemo Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka na Mahakama kuchukua hatua za haraka, huru na za kina kuchunguza madai haya mazito. Tunaitaka Serikali kutoa kauli ya wazi na kuwajibika kuhakikisha usalama wa Mhe. Tundu Lissu akiwa kizuizini.
Tunatoa wito kwa Jumuiya ya Kimataifa, Mashirika ya Haki za Binadamu, Mabalozi na wahusika wengine wote wa kimataifa kufuatilia kwa ukaribu suala hili na kushinikiza uwajibikaji, ulinzi wa haki za binadamu, na kuheshimiwa kwa misingi ya demokrasia nchini Tanzania.
Imetolewa leo Jumatano, tarehe 02 Julai 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
Poa, soma;
IDU tunafatilia njama za kumuwekea Lissu sumu Gerezani
View attachment 3391862
Tunakujua dish limekaa mkao wa kubutuliwa lakini not to this extent.Hizo taarifa ninazo kabla ndo maana nikaishauri serekali imuhudumie Lissu kila kitu magereza wasipokee chochote kutoka kwa watu wa Chadema kumpa Lissu wanaweza kumuua ili waichonganishe serekali na wananchi
mwaka wa 66 sasaCCM hawana nguvu kama wanavyofikiria, kama ni kweli huu ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wao
Uchaguzi Wa Kwanza mama alipita bila kupingwa (kikatiba)Huyu Mama kuna kitu anakitafuta.
Wacha tuone hatima yake.
Duuuh! sijui itakuaje sasaHili nalo limeshindwa
Serikali nyingi zinazoanguka hujaribu kuua WapinzaniHatari!
Mbowe kamwandaa kileo wa chauma bingwa wa kemikali Tindikali na sumu zingine watafanya fujo ili akamatwe apelekwe jela ambapo atawekwa jirani na Lisu kisha kutekeleza huo unyama wa kishetani, njama zote zinasukwa na mbowe kwa msaada wa ibirisi wa ccmTAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuujulisha umma kuwa kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa zinazodai kuwa Mhe. Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuna mipango ya kuwekewa sumu akiwa kizuizini.
Taarifa hizi zimetolewa usiku huu wa leo, tarehe 02 Julai 2025, kutoka kwa vyanzo mbalimbali vya kuaminika. Miongoni mwa waliotoa kauli kuhusu suala hili ni Mhe. David McAllister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya (European Parliament), ambaye kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter) ameandika:
"Nina wasiwasi mkubwa kuhusu ripoti za kutisha za jaribio la kumtilia sumu kiongozi wa upinzani wa Tanzania Tundu Lissu akiwa kizuizini."
Chadema inachukulia taarifa hizi kwa uzito wa hali ya juu. Hili si jambo la kupuuzia, hasa tukikumbuka kuwa si mara ya kwanza kwa viongozi wa Chadema kulengwa na vitisho, mashambulizi au uonevu wa aina mbalimbali, huku taarifa nyingi tulizowasilisha kwa mamlaka husika zikipuuzwa au kutochukuliwa hatua yoyote.
Tunazitaka mamlaka husika, likiwemo Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka na Mahakama kuchukua hatua za haraka, huru na za kina kuchunguza madai haya mazito. Tunaitaka Serikali kutoa kauli ya wazi na kuwajibika kuhakikisha usalama wa Mhe. Tundu Lissu akiwa kizuizini.
Pia, soma; IDU tunafatilia njama za kumuwekea Lissu sumu Gerezani
Tunatoa wito kwa Jumuiya ya Kimataifa, Mashirika ya Haki za Binadamu, Mabalozi na wahusika wengine wote wa kimataifa kufuatilia kwa ukaribu suala hili na kushinikiza uwajibikaji, ulinzi wa haki za binadamu, na kuheshimiwa kwa misingi ya demokrasia nchini Tanzania.
Imetolewa leo Jumatano, tarehe 02 Julai 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
View attachment 3391862
Kileo wa chauma ubwabwa ndiyo kapewa Tenda na mbowe wakishirikiana na ibirisi wa ccmSerikali nyingi zinazoanguka hujaribu kuua Wapinzani
Kwa hiyo ufafanuzi wa Serikali ndo utamaanisha hawataki kumuua?Tundu Lissu ameshakuwa Mtu hatari kiasi hiki? What has he done?
Nina imani serikali itatoa ufafanuzi
ngoja tuoneKileo wa chauma ubwabwa ndiyo kapewa Tenda na mbowe wakishirikiana na ibirisi wa ccm
Mbowe anatamani Lisu afe ili arejee chademaAlindwe na Mungu
Mbowe anawezaje kuingia gerezani kuua Lissu?Mkuu unataka kupotosha kwa faida ya nani?Mbowe anatamani Lisu afe ili arejee chadema