GE2025 CHADEMA: Tumepata taarifa ya Tundu Lissu kutaka kupewa sumu

GE2025 CHADEMA: Tumepata taarifa ya Tundu Lissu kutaka kupewa sumu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
vyombo vya uchunguzi vya ICC The Hague wapo Tanzania wanafuatilia nyendo zote za watesi
Hivi tuna uhakika kuwa huyu mama ameharibika kwa ajili ya madeni ya watu?
1. Watu wanaofadhili projectsl zake binafsi na yeye kuwahakikishia kuwalindia miradi yao?
2. Sio presha za ahadi za watu zinamsumbua?
3. Kuwa aliowahidi kuwalinda kuitafuna nchi wanamsukuma kufanya unyama huu?
 
Kitendo cha Lisu kutokea gerezani akiwa na bashasha kinawaumiza sana majizi ya ccm. Na alipoamua kujitetea ndio imekuwa mbaya zaidi kwani anawamaliza mawakili vilaza wa ccm. Na anaivua nguo mahakama kuwa inapokea maelekezo kwa majizi ya ccm. Namna pekee ni kumuua Lisu baada ya dhalimu magu kushindwa kwa risasi.
ibirisi wa ccm wanaoshirikiana na mbowe ambaye kamwandaa kileo wa chauma apeleke mtu jela kwenda kutelekeza huo unyama wa kishetani, Mbowe ana chuki kubwa na Lisu na ndoto yake ni kurejea chadema kwa niia haramu ya kishetani
 
Idi amin alikua mtu poa sana, sema mlikaririshwa uongo kwamba anakula nyama za watu.

Waweke mtanganyika, huu Muungano una maana gani sasa, si bora uvunjwe tu!
Muungano upe watanganyika wanataabika wanateswa na mkoloni kaburu Dikteta toka Zanzibar
 
Kuna mtu nilimsikia akisema kuhusu huu mpango, ilikuwa Mwezi Mei

Nilidhani ni habari za vijiweni, kumbe ilikuwa serious 🙌

Mungu atusaidie Kwa kweli
Njama zote zimesukwa na mbowe na Genge lake la G55 kwa kushirikiana na ibirisi wa ccm
 
Sasa tupo chini ya utawala wa shetani. Hatijawahi kuwa kwenye utawala wa kishetani wa kiwango hiki.!! Huyu mtu arudi kwao haraka, asituharibie Taif.
 
ITABAKI KUWS UVUMI TU LAKINI
Hakuna wa kumdhuru Lissu.
Akidhuriwa nipigwe ban ya milele hapa jukwaani.
Mbowe ana Ndote za kurejea chadema kwa njia haramu za kishetani yeye ndiyo mratibu wa njama zote za kumuua Lisu
 
Hz kelele tu!
Acheni sheria ichukue mkondo wake,
MNATAFUTA HURUMA EE?


Wewe ni kichaa? Tangu lini nchi hii ikawa na sheria? Kungekuwa na sheria, wale wanaoteka, kuua na kuwatesa watu, wangekuwa walishakamatwa, kushtakiwa na kuhukumiwa.

Ungekuwa na akili japo kidogo, ungeikumbuka ile kauli kuwa katiba ni kijitabu tu! Kama katiba tu haifuatwi wala kuheshimiwa, ni sheria gani itaheshimiwa?
 
Hivi tuna uhakika kuwa huyu mama ameharibika kwa ajili ya madeni ya watu?
1. Watu wanaofadhili projectsl zake binafsi na yeye kuwahakikishia kuwalindia miradi yao?
2. Sio presha za ahadi za watu zinamsumbua?
3. Kuwa aliowahidi kuwalinda kuitafuna nchi wanamsukuma kufanya unyama huu?
Mateso manyanyaso kwa chadema ni mradi wa kupiga pesa huko kwa ibirisi wa ccm wanachofanya sasa humchochea Mama Bokasa Kaburu mkoloni toka Zanzibar afanye mambo ya hovyo , kisha wakiona moto umewaka wanaenda kuomba pesa kwa ajili ya kutuliza joto la kisiasa na kuidhoofisha chadema ndipo mama Dikteta pasipo kutafakari anawapa mabilioni wanagawana wenyewe wanachukua chao mapema kisha kidogo wanawanunua G55 toka kwa mbowe kuwasokomeza chauma ubwabwa chama chawa cha ibirisi ccm ambapo Amos makala na mbowe hula 10% kila pesa inayotoka ccm kwenda Chaumaccm ni miradi haramu ya kishetani na pia inatumika kumchuuza huyo Mkoloni toka Zanzibar aje kuenguliwa mbio za Urais kwa kukosa sifa za ubinadamu, wenye ccm yako hawataki tena huyo mama Kaburu mkoloni toka Zanzibar
 
Back
Top Bottom