GE2025 CHADEMA: Tumepata taarifa ya Tundu Lissu kutaka kupewa sumu

GE2025 CHADEMA: Tumepata taarifa ya Tundu Lissu kutaka kupewa sumu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mateso manyanyaso kwa chadema ni mradi wa kupiga pesa huko kwa ibirisi wa ccm wanachofanya sasa humchochea Mama Bokasa Kaburu mkoloni toka Zanzibar afanye mambo ya hovyo , kisha wakiona moto umewaka wanaenda kuomba pesa kwa ajili ya kutuliza joto la kisiasa na kuidhoofisha chadema ndipo mama Dikteta pasipo kutafakari anawapa mabilioni wanagawana wenyewe wanachukua chao mapema kisha kidogo wanawanunua G55 toka kwa mbowe kuwasokomeza chauma ubwabwa chama chawa cha ibirisi ccm ambapo Amos makala na mbowe hula 10% kila pesa inayotoka ccm kwenda Chaumaccm ni miradi haramu ya kishetani na pia inatumika kumchuuza huyo Mkoloni toka Zanzibar aje kuenguliwa mbio za Urais kwa kukosa sifa za ubinadamu, wenye ccm yako hawataki tena huyo mama Kaburu mkoloni toka Zanzibar


Huyu mama kwa sasa, amefikia kiwango cha kuchukiwa na watu wengi, kuliko mtu mwingine yeyote.
 
Hakuna mtu wa kumpa sumu lissu akiwa mikononi mwa dola,hiyo italeta kelele na vurugu zaidi, hapo kuna watu wanaotaka mama avurugikiwe ndiyo huenda watafanya hilo,wangetaka kumuua wangefanya akiwa nje,isingeleta shaka
Wewe "unadhani" na kudhania sio kosa kisheria.

Wewe kaa hivyo huvyo ukiendelea kudhania, lakini wenzio huko wanaumiza kichwa usiku na mchana kuhakikisha huyu mtu wanayemwona kama kikwazo kwao, kwa njia yoyote anapotea.

Utaratibu wa kumtengenezea makosa (kesi bandia) na kisha kuitumia mahakama kumuua au kumfunga maisha gerezani umeshashindikana, umesha - backfire big time.

Sasa wameingia kwenye ushetani wa juu zaidi, kumwaga damu yake, kuua.

Na kwa kweli Samia Suluhu Hassan na genge lake ni wazi kuwa hawana akili kabisa za kufikiri vizuri na kuamua.

Hawajiulizi, kuwa, kama mtu huyu alishindwa kufa kwa risasi 16 zilizoingia mwilini, hivi anaweza kufa kwa kitu gani hasa? Sumu? Uchawi?

Ni sawa na waliomuua Yesu Kristo miaka 2025 iliyopita. Walimuua, akazikwa, akashinda nguvu ya kaburi, siku ya tatu akafufuka na yuko hai mpaka leo. Lakini eti bado shetani mpaka leo anamtafuta amuue tena yeye na wafuasi wake. Atawezea wapi unadhani?

Wanajisumbua tu. HUYU MTU HATAKUFA, WAO NDIO WATAFILIWA NA MZALIWA WAO WA KWANZA, TOP WAO!
 
Hakuna mtu wa kumpa sumu lissu akiwa mikononi mwa dola,hiyo italeta kelele na vurugu zaidi, hapo kuna watu wanaotaka mama avurugikiwe ndiyo huenda watafanya hilo,wangetaka kumuua wangefanya akiwa nje,isingeleta shaka
Unajidanganya.

Kumbuka kwamba Utawala wa Tanzania tangu zamani enzi za utawala wa Awamu ya Kwanza ya Mwl . Nyerere utawala umekuwa na urafiki mkubwa sana na Watawala wa nchi ya Urusi, China, Korea ya Kaskazini na Yugoslavia.
Kwenye nchi hizi, Wapinzani na Wanaharakati mbalimbali wa Haki za Binadamu ni jambo la kawaida kabisa kwao kuuawa kwa kuwekewa sumu na Watawala.
Aidha, pia kumbuka kuwa ndege wafananao huruka pamoja.
Like mother like daughter!
 
Wewe mvuta bangi tokea lini ujue chochote? Wewe ni mnufaika wa utekaji na matendo haramu ya kishetani
Huna akili na tushakuanika ukijaribu kuchepusha mada, mjinga wee! na sasa tunakuanika Rasmi, kapuku mkubwa wee!
 
Kila mtu humu jf amekudharau kuliko takataka
Eti ibirisi wa ccm wamekupa jukumu uwatetea mitandaoni? Wewe mbumbumbu juha zuzu kikaragosi badala ya kuwasaidia ccm unawatia aibu kwa upumbavu wako
 
Huna akili na tushakuanika ukijaribu kuchepusha mada, mjinga wee! na sasa tunakuanika Rasmi, kapuku mkubwa wee!
Wewe Akili unazo? Kichwani umejaza kamasi debe mbili nani wa kukusikiliza tahira wewe jianike mwenyewe pumbavu zako, umelewa sifa za kula pesa za walipa kodi kwa njia haramu za kishetani hadi umejitoa fahamu zote
 
Hakuna mtu wa kumpa sumu lissu akiwa mikononi mwa dola,hiyo italeta kelele na vurugu zaidi, hapo kuna watu wanaotaka mama avurugikiwe ndiyo huenda watafanya hilo,wangetaka kumuua wangefanya akiwa nje,isingeleta shaka
No zipo sumu zinaua pole pole. Unalishwa leo inakuua tararitibu kwa miezi 3 hivi. Utashtukia ini limeferi kwa mfano unue ndio imetoka hiyo. Akipewa atatoka gerezan mzima sasa subiri mwezi upite.
 
Mateso manyanyaso kwa chadema ni mradi wa kupiga pesa huko kwa ibirisi wa ccm wanachofanya sasa humchochea Mama Bokasa Kaburu mkoloni toka Zanzibar afanye mambo ya hovyo , kisha wakiona moto umewaka wanaenda kuomba pesa kwa ajili ya kutuliza joto la kisiasa na kuidhoofisha chadema ndipo mama Dikteta pasipo kutafakari anawapa mabilioni wanagawana wenyewe wanachukua chao mapema kisha kidogo wanawanunua G55 toka kwa mbowe kuwasokomeza chauma ubwabwa chama chawa cha ibirisi ccm ambapo Amos makala na mbowe hula 10% kila pesa inayotoka ccm kwenda Chaumaccm ni miradi haramu ya kishetani na pia inatumika kumchuuza huyo Mkoloni toka Zanzibar aje kuenguliwa mbio za Urais kwa kukosa sifa za ubinadamu, wenye ccm yako hawataki tena huyo mama Kaburu mkoloni toka Zanzibar
Tutaona
 
Back
Top Bottom