Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Nchi ni ya watanzania sio CCM, vyama vya siasa vinakuja na kuondoka, soma history akili itarudimwaka wa 66 sasa
Nchi ni ya watanzania sio CCM, vyama vya siasa vinakuja na kuondoka, soma history akili itarudimwaka wa 66 sasa
Miezi mitatu ni muda mrefu?!No zipo sumu zinaua pole pole. Unalishwa leo inakuua tararitibu kwa miezi 3 hivi. Utashtukia ini limeferi kwa mfano unue ndio imetoka hiyo. Akipewa atatoka gerezan mzima sasa subiri mwezi upite.
Kuna mapapai mengi humu!Unajidanganya.
Kumbuka kwamba Utawala wa Tanzania tangu zamani enzi za utawala wa Awamu ya Kwanza ya Mwl . Nyerere utawala umekuwa na urafiki mkubwa sana na Watawala wa nchi ya Urusi, China, Korea ya Kaskazini na Yugoslavia.
Kwenye nchi hizi, Wapinzani na Wanaharakati mbalimbali wa Haki za Binadamu ni jambo la kawaida kabisa kwao kuuawa kwa kuwekewa sumu na Watawala.
Aidha, pia kumbuka kuwa ndege wafananao huruka pamoja.
Like mother like daughter!
Hakuna watu wajinga kama Watanganyika.Lissu ni mpango wa Mungu..
Mkoloni Dikteta kaburu toka Zanzibar anaitawala Tanganyika kimabavu huku vibaraka toka Tanganyika wakimsaidia kuwaonea, kuwatesa watanganyika wenzao bila huruma, Muungano ufe Tanganyika iwe huruHakuna watu wajinga kama Watanganyika.
.Walio mtungia kesi TUNDU Lissu ni watanganyika.
.walio muua Mzee Kibao ni watanganyika.
.wanao taka kumuua TUNDU Lissu Kwa Sumu ni watanganyika.
Walinda maslahi ya mtu anaye iibia Tanganyika Mali na ardhi ....! Mwanamke Mzanzibar anawaendesha usiku na mchana.
Huyu Mzanzibar kauza Bandari zetu zote Kwa waarabu halafu wanaume wazima tena wengine wasomi wanahangaika kuuwa watanganyika Kwa faida ya mwizi mmoja.
Mkuu funza wewe ni member mkongwe hapa JF ila ajabu sana unapotosha kuhusu Mbowe. Nani anafaidika na kunufaika na uzushi wako? Umekosa content? Mbona ulikuwa kimya kama ulijua hayo? Au wewe ndio wale wale?Mbowe atamtuma mtu gerezani
Ndiyo maana wanatumia njia ya sumu ambayo hatakufa ghafla bali taratibu wakati wameshamuachia na itaonekana ni natural death. Samia ni shetani katika maumbile ya binadamu.Hakuna mtu wa kumpa sumu lissu akiwa mikononi mwa dola,hiyo italeta kelele na vurugu zaidi, hapo kuna watu wanaotaka mama avurugikiwe ndiyo huenda watafanya hilo,wangetaka kumuua wangefanya akiwa nje,isingeleta shaka
Kwani kweli hili swali ni gumu mkuu 'Mzee Mwanakijiji'?Jamaniii yanatoka wapi haya na nani atapata faida?
Mnufaika ni yule yule aliyempiga risasi 30+Jamaniii yanatoka wapi haya na nani atapata faida?
Mama na GENGE.Atakayepata faida ni Mama
Alipopigwa risasi CCM ilifanywa nini?CCM hawana nguvu kama wanavyofikiria, kama ni kweli huu ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wao
Kwakuwa CHADEMA wame pre-empty?ITABAKI KUWA UVUMI TU LAKINI
Hakuna wa kumdhuru Lissu.
Akidhuriwa nipigwe ban ya milele hapa jukwaani.
Anachuki kuliko aliyemtia kizuizini?.Kuna mtu atakamatwa kisha kupewa kila kitu akafanye yake huko gerezani, Mbowe ana chuki na Lisu kwa kiwango cha kutisha sana
Tatizo si muungano bali CCM, tumewahi kutendwa na watanganyika wenzetu.Muungano ukifa Tanganyika ikawa huru itapoa
Tafadhali aisee..lini nimekuwa mwanaCCM? Kwenye kesi yoyote inayohusu mauaji ambapo mtuhumiwa hajulikani swali la kwanza ni nani atanufaika na kifo cha mtu huyo. Tuchukulie kuwa hizi tetesini za kweli; unafikiri Samia ndiyo atanufaika zaidi itokee kweli Lissu afie jela? Sioni namna gani kama kwa kuendelea kuwa jela hairpiece faida yoyote Samia...Kwani kweli hili swali ni gumu mkuu 'Mzee Mwanakijiji'?
Wasioitakia mema Tanzania; wakiwemo watawala wasiopenda HAKI
Kuna GENGE hatari linalokishikilia chama chenu cha CCM na kukitumia kuwa aka uchafu nyinyi nyote!.
UpuuzweMbowe kamwandaa kileo wa chauma bingwa wa Tindikali kemikali na sumu zote aandae mtu apelekwe gerezani awe karibu na mbowe atekeleze huyo unyama wa kishetani