Pre GE2025 CHADEMA: Tuna Wanachama milioni 17 Nchi nzima!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwaka 2020 aliyekuwa Mshindi wa Uchaguzi Mkuu, alishinda Kwa kura 12.5Milioni wakati Mgombea wa Chadema alipata Kura 1.9 Milioni

Kama Chadema Wana Wanachama 17Milioni, basi Idara ya Uenezi haifanyia kazi yake ipasavyo, maana ingewahamasisha Wanachama wao hao millioni 17 kwenda kupiga Kura ina maana Rais wa Nchi saivi angekuwa ni TAL

Idara ya Uenezi ni kama Idara ya Masoko kwasisi tunao-deal na biashara

Kama Idara ya Masoko hafanyi kazi yake vizuri ina maana utapata mauzo hafifu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]2020??? Mkono wa chuma haukuruhusu uchaguzi kabisa!!!!!!
 
Pamoja na hayo Mkuu, hata kama wangeiba hizo kura, lakini wangejitokeza hao Wanachama milioni 17 hamna hamna hapo wangepata Kura kama milioni 10 hivi tukichukulia kura milioni 7 zimeibwa

Hoja yangu ni kwamba Idara ya Uenezi haifanyi kazi zake kiufanisi
 
Wanachama wa Chadema hawafikiili million 2 🐼
 
Inawezekana kweli wanao Wanachama 17 Milioni kama walivyosema kupitia Database waliyonayo

Ila hoja yangu ni kwamba hiyo Idara ya Uenezi imelala, haifanyi kazi yake ipasavyo
Bwashee kuwa Mwanachama haikulazimishi kupiga Kura Kwa sababu Tanzania tunachagua MTU siyo Chama

Chadema watakuwa na Wanachama milioni 1 na Laki 7 😂
 
Mwaka 2020 aliyekuwa Mshindi wa Uchaguzi Mkuu, alishinda Kwa kura 12.5Milioni wakati Mgombea wa Chadema alipata Kura 1.9 Milioni

Kama Chadema Wana Wanachama 17Milioni, basi Idara ya Uenezi haifanyia kazi yake ipasavyo, maana ingewahamasisha Wanachama wao hao millioni 17 kwenda kupiga Kura ina maana Rais wa Nchi saivi angekuwa ni TAL

Idara ya Uenezi ni kama Idara ya Masoko kwasisi tunao-deal na biashara

Kama Idara ya Masoko hafanyi kazi yake vizuri ina maana utapata mauzo hafifu.
Serkali ya Awamu ya Sita Imewahi Kunakiliwa Ikisema kuwa Uchaguzi wa Mwaka 2020 Haukuwa wa Huru na Wa Haki..

Sentesi hiyo inatosha???

Screenshot_20241030_142639_X.jpg
Screenshot_20241030_142454_X.jpg
 
Back
Top Bottom