johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chama kikuu Cha Upinzani nchini Chadema limesema Katika leja yake kina Jumla ya Wanachama milioni 17
Source: East Africa Radio
Source: East Africa Radio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNi kweli nathibitisha
😂😂😂Tumewaambia humu mara kadhaa mkakaza shingo
Mwaka 2020 aliyekuwa Mshindi wa Uchaguzi Mkuu, alishinda Kwa kura 12.5Milioni wakati Mgombea wa Chadema alipata Kura 1.9 Milioni
Kama Chadema Wana Wanachama 17Milioni, basi Idara ya Uenezi haifanyia kazi yake ipasavyo, maana ingewahamasisha Wanachama wao hao millioni 17 kwenda kupiga Kura ina maana Rais wa Nchi saivi angekuwa ni TAL
Idara ya Uenezi ni kama Idara ya Masoko kwasisi tunao-deal na biashara
Kama Idara ya Masoko hafanyi kazi yake vizuri ina maana utapata mauzo hafifu.
Mollel, Msigwa, Nasari, Lijualikali, Mwambe, Mdee, n.k wote wanasomeka wanachadema badoChama kikuu Cha Upinzani nchini Chadema limesema Katika leja yake kina Jumla ya Wanachama milioni 17
Source: East Africa Radio
Pamoja na hayo Mkuu, hata kama wangeiba hizo kura, lakini wangejitokeza hao Wanachama milioni 17 hamna hamna hapo wangepata Kura kama milioni 10 hivi tukichukulia kura milioni 7 zimeibwa[emoji23][emoji23][emoji23]2020??? Mkono wa chuma haukuruhusu uchaguzi kabisa!!!!!!
Wanachama wa Chadema hawafikiili million 2 🐼Pamoja na hayo Mkuu, hata kama wangeiba hizo kura, lakini wangejitokeza hao Wanachama milioni 17 hamna hamna hapo wangepata Kura kama milioni 10 hivi tukichukulia kura milioni 7 zimeibwa
Hoja yangu ni kwamba Idara ya Uenezi haifanyi kazi zake kiufanisi
Inawezekana kweli wanao Wanachama 17 Milioni kama walivyosema kupitia Database waliyonayoWanachama wa Chadema hawafikiili million 2 🐼
Bwashee kuwa Mwanachama haikulazimishi kupiga Kura Kwa sababu Tanzania tunachagua MTU siyo ChamaInawezekana kweli wanao Wanachama 17 Milioni kama walivyosema kupitia Database waliyonayo
Ila hoja yangu ni kwamba hiyo Idara ya Uenezi imelala, haifanyi kazi yake ipasavyo
Wanachama wa mchongo. Kila siku wanahama na kuhamia hizi Takwimu haziwezi kuwa sahihi.Chama kikuu Cha Upinzani nchini Chadema limesema Katika leja yake kina Jumla ya Wanachama milioni 17
Source: East Africa Radio
Serkali ya Awamu ya Sita Imewahi Kunakiliwa Ikisema kuwa Uchaguzi wa Mwaka 2020 Haukuwa wa Huru na Wa Haki..Mwaka 2020 aliyekuwa Mshindi wa Uchaguzi Mkuu, alishinda Kwa kura 12.5Milioni wakati Mgombea wa Chadema alipata Kura 1.9 Milioni
Kama Chadema Wana Wanachama 17Milioni, basi Idara ya Uenezi haifanyia kazi yake ipasavyo, maana ingewahamasisha Wanachama wao hao millioni 17 kwenda kupiga Kura ina maana Rais wa Nchi saivi angekuwa ni TAL
Idara ya Uenezi ni kama Idara ya Masoko kwasisi tunao-deal na biashara
Kama Idara ya Masoko hafanyi kazi yake vizuri ina maana utapata mauzo hafifu.
Huo ni uongo. Mjhm7g7g7t7t7yChama kikuu Cha Upinzani nchini Chadema limesema Katika leja yake kina Jumla ya Wanachama milioni 17
Source: East Africa Radio
Hawa sasa ndio wezi wa kura, uchakachuaji umeanzia ofisini kwaoChama kikuu Cha Upinzani nchini Chadema limesema Katika leja yake kina Jumla ya Wanachama milioni 17
Source: East Africa Radio
Wafuasi wanaandikishwa kwenye leja?Hao ni wafuasi,,, watu wengi wanaoichukia CCM,,,wanashabikia Chadema lakini sio wanachama.