Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Mbowe ameshindwa kujibu hoja leo

..sasa hayo ni mapungufu binafsi ya mbowe kama mwanadamu.

..pia inaweza kuwa ni mtizamo wako binafsi ukiwa biased ni misimamo yako.

..lakini UKWELI uko palepale kwamba ccm inatumia vibaya tume, polisi, na mahakama.
 
Logic ya Mbowe hapa ni kwamba yeye anaangalia ruzuku. Anajua akifanya ununda mgombea anafutwa mazima halafu ruzuku itakuwa ndiyo imepotea.

Lkn kumbe alipaswa kugangamala ili kama mbwayi na iwe mbwayi tu. Na hii ndiyo ingelonesha sura halisi ya ccm ya Magufuli.

Madiwani na wabunge wamefyekwa amufyata. Wagombea wanapigwa ban kupiga kampeni anaufyata, sasa mpk mgombea urais anapigwa ban bado anaufyata. Kuna nn tena hapo?

Chadema utaibiwa halafu Mbowe atawekwa sawa,kisha atakuja na nyimbo zile zile.

Hivi haoni misimamo ya mwenzake Maalim Seif???
Mbowe ni Mtanzania...siyo kibaraka wa mabeberu Kama Lissu...anatanguliza Tanzania Kwanza...Lissu anamtanguliza Amsterdam na mabeberu wengine...
 
Mbowe ni Mtanzania...siyo kibaraka wa mabeberu Kama Lissu...anatanguliza Tanzania Kwanza...Lissu anamtanguliza Amsterdam na mabeberu wengine...
Kwa mlivyo vilaza hamuwezi waelewa chadema wamewashikia wapi

kitendo cha kumzuia Lissu kufanya kampeni ni ushahidi tosha kwa wenye dunia wanaopanga yao mwaka huu dhidi yenu

Soma vizuri hapa👇
41751A96-9F48-41B8-960D-E3B2A5DFC4AD.jpeg
 
..sasa hayo ni mapungufu binafsi ya mbowe kama mwanadamu.

..pia inaweza kuwa ni mtizamo wako binafsi ukiwa biased ni misimamo yako.

..lakini UKWELI uko palepale kwamba ccm inatumia vibaya tume, polisi, na mahakama.

CCM iko kwenye mioyo ya majority ya watanzania. Ni chama kinacholinda maslahi ya mtanzania.
 
lakini UKWELI uko palepale kwamba ccm inatumia vibaya tume, polisi, na mahakama.
Sasa kama kila ujinga uanofanywa kwa chadema unakubaliwa Kuna matumaini ya kushika dola? Au lengo siyo kuitoa ccm, bali ni kupata ruzuku?
 
Wanapunguza moto kwa uoga wao wa kijinga. Lissu ni mtu sahihi, makini na anajua jinsi gani ya kudili na jamii ya wakandamizaji. Malcom X anasema huwezi kudili kwa kutumia hekima kwa jamii ambayo hekima mliitumia tangu kale juu ya mwenendo wao wa ukandamizaji lakini hawajaielewa na hawataki kuielewa. Njia pekee ya kudili na wakandamizaji ni kutumia njia ileile kama wanayotumia wao ikiwa unaamini unapigania haki.

Tume kumsimamisha Lissu ni ubatili wa mchana kweupe! Hakuna misingi au taratibu yoyote aliyoivunja kisheria. Udhaifu waliyouonyesha leo Chadema ni mkubwa sana. Unafikiri kwa ule moto Lissu aliyokuwa anadili na askari kwa sasa askari watamuona mlaini tu hawatomuhofia.
Achana nao hawa!! Wanadhani wamewaweza Chadema kumbe chadema ndo wanazidi kuwaingiza kingi
Hawajui kumzuia Lissu kufanya kampeni tayari wameshajitumbukiza hapa👇
44677B1B-9F34-49F1-9793-E993BE24F458.jpeg
 
Mzee wa Faru John kaamua kutoka mafichoni, Tunajua mmejipanga kutaka kuleta stori zenu za kulialia, wakati sheria mmevunja wenyewe, tulieni kama mnanyolewa sheria ishafanya kazi yake, nyie ndo mnaanza kutetemeka kama mbuzi wa kafara, hahaha.
Watanzania tutaichagua CCM, na Tutamchagua Magufuli
Watanzania umekutana nao wapi wakakwambia wataichagua ccm?
 
Mzee wa
Lisu amemtega Mbowe. Ni ama aheshikike ama adhauraulike. Maamuzi ya mgombea tunayajua, maamuzi ya kamati yakiwa kinyume na yale ya mgombea Mbowe utapwaya sana
Lissu ajiandae kuanzisha chama chake. Mwenyekiti ashasema, wengine lazima mtii bila shurti.
 
sisi tunakubali uwamuzi wa mwenyekeiti wetu.ni vuzuri kuheshim na kutiii sheria bila shuruti
 
Back
Top Bottom