Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Mbowe ameshindwa kujibu hoja leo

..sasa hayo ni mapungufu binafsi ya mbowe kama mwanadamu.

..pia inaweza kuwa ni mtizamo wako binafsi ukiwa biased ni misimamo yako.

..lakini UKWELI uko palepale kwamba ccm inatumia vibaya tume, polisi, na mahakama.
 
Mbowe ni Mtanzania...siyo kibaraka wa mabeberu Kama Lissu...anatanguliza Tanzania Kwanza...Lissu anamtanguliza Amsterdam na mabeberu wengine...
 
Mbowe ni Mtanzania...siyo kibaraka wa mabeberu Kama Lissu...anatanguliza Tanzania Kwanza...Lissu anamtanguliza Amsterdam na mabeberu wengine...
Kwa mlivyo vilaza hamuwezi waelewa chadema wamewashikia wapi

kitendo cha kumzuia Lissu kufanya kampeni ni ushahidi tosha kwa wenye dunia wanaopanga yao mwaka huu dhidi yenu

Soma vizuri hapa👇
 
..sasa hayo ni mapungufu binafsi ya mbowe kama mwanadamu.

..pia inaweza kuwa ni mtizamo wako binafsi ukiwa biased ni misimamo yako.

..lakini UKWELI uko palepale kwamba ccm inatumia vibaya tume, polisi, na mahakama.

CCM iko kwenye mioyo ya majority ya watanzania. Ni chama kinacholinda maslahi ya mtanzania.
 
lakini UKWELI uko palepale kwamba ccm inatumia vibaya tume, polisi, na mahakama.
Sasa kama kila ujinga uanofanywa kwa chadema unakubaliwa Kuna matumaini ya kushika dola? Au lengo siyo kuitoa ccm, bali ni kupata ruzuku?
 
Achana nao hawa!! Wanadhani wamewaweza Chadema kumbe chadema ndo wanazidi kuwaingiza kingi
Hawajui kumzuia Lissu kufanya kampeni tayari wameshajitumbukiza hapa👇
 
Watanzania umekutana nao wapi wakakwambia wataichagua ccm?
 
Mzee wa
Lisu amemtega Mbowe. Ni ama aheshikike ama adhauraulike. Maamuzi ya mgombea tunayajua, maamuzi ya kamati yakiwa kinyume na yale ya mgombea Mbowe utapwaya sana
Lissu ajiandae kuanzisha chama chake. Mwenyekiti ashasema, wengine lazima mtii bila shurti.
 
sisi tunakubali uwamuzi wa mwenyekeiti wetu.ni vuzuri kuheshim na kutiii sheria bila shuruti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…