Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Mbona unahamisha magoli? Mambo ya Akwiline yanatoka wapi hapa? Hoja ni kwann chama kiamue kutii adhabu haramu?

Kama kinatii adhabu hii haramu tafsiri yake ni kwamba Mambo yote haramu yatayofanywa na CCM kwenye uchaguzi huu chama kitayatii
Acha upimbi ndg, sio kila kitu utumie nguvu hata pasipohitaji nguvu ..unakipi ulichokifanya ndani ya chadema hadi umuite mbowe muoga? Si ajabu unaandika huu Utupolo ukiwa nje ya nchi ..cku Saba sio nyingi kvile mpk zisababishe mgombea aenguliwe kwenye kinyang'anyilo...tunajua mpo mnachochea kuni ili likiharibika au akienguliwa mrudi na gia ya kulaumu kuwa tulishindwa kujizuia kumzuia lissu asifanye kampeni ...mitego mingine inahitaji umakini ..usiwadharau viongozi wetu kwa matakwa yako ya kipumbavu ..
 
Pole Sana siwezi kujibu mambo ya personality kwa manufaa yako.Ishu ya huyo unaemsema wewe kuheshimiwa ni Jambo moja na kusema kwamba cdm isingetoa meya au kupata wabunge bila Lowassa ni ujinga na upotolo,kwa hiyo sasa mnagombea ili iweje Kama anayeweza kuwaletea wabunge ni Lowasa na hayupo? Wewe ndio mjinga ungejikita kulinda heshima ya Lowassa sio kuongea ujinga na kwenye siasa matusi ni kawaida na kutofautiana misimamo ni kawaida pia
 
Hahahaha eti ICC
Huwa Mnajiliwaza
 
Siku Saba sio nyingi kivile mpaka zisababishe mgombea aenguliwe kwenye kinyang'anyilo'

Shida sio mgombea kuenguliiwa,implication ya alichokifanya Mbowe/Kamati kuu utaiona wkt wa kutangaza matokeo ya uchaguzi,utajionea mwenyewe.

Msimamo wa Lissu ulikua sahihi kabisa na ungetuma clear signals kwa CCM/NEC kwamba upuuzi wa aina yoyote ile sitaukubali sasa na hata kwny matokeo ya uchaguzi mkizingua mwendo utakua huu huu kama kawa.
 


Wewe siyo mtu wa kutusi na kukejeli mchango wa Lowasa chadema, kwa maana hata hao unaowasujudia akina tundu wanamuheshimu na kukubali mchango wa E.Lowasa chadema, na hata tundu lisu mwenyewe bado anatembelea nyota ya team Lowasa chadema, kuhusu swali lako jibu utalipata baada ya Oktoba 28 utaona ni Wabunge wangapi na Madiwani chadema itashinda, ni Majijii na Halmshauri ngapi chadema itashinda kutoa Mameya ndiyo labda utaelewa, ...
 
Saa 1 na dk 8 nafungua JF kuona kama Lissu kaufyata au kaamua kama mbwai iwe mbwai, lo! kwisha habari yake, ngoja niende tweeter kwa Amsterdam kidume nione anasemaje!
 
Hv akienguliwa lissu unaweza ww kuingia barabarani kumpambania? ..au unajifurahisha tu huku jf!? Eti mbowe muoga ..hv unaijua nguvu ya chadema iko wp?? Acheni utani bhana ...usikute mnaopampulisha hii inshu Ni maccm ...tuwaambie tu kuwa maamuzi ya kamati kuu tunayaheshimu na tunaiunga mkono kamati kuu maana hatuko tyr kuishia njiani tunataka tufike mwisho maana ushindi upo mbeleni ...tulieni
 
Zimbabwe chini ya Mugabe ilikua na heshima kuliko sasa Rais aliyeandaliwa na wazungu anawapa mashamba tena wale wale makaburu, ndio madhara ya kuweka vibaraka kama Lissu
Wewe akili huna karibu naacha kukujibu,heshima ndio ile ambayo mkate ulikuwa unauzwa milioni moja unaibeba kwenye gunia na hata haupatikani?
Anawarudishia wanaoweza kuzalisha uchumi urudi kipindi Zimbabwe ilikuwa moja ya nchi zilizoendelea Afrika.Bora kuwa kibaraka wa mzungu kuliko mtumwa wa ccm
 
Hahahaha Lissu mwenyewe mwepesi kama unyoya sasa kimemshinda nini kukomaa bila kutafuta ushauri wa mbowe? Yeye si alisema chadema ni chadema na yeye ni yeye, Nilifikiri angeamua na hili yeye kama yeye

2015 mliambiwa kama mlishindwa kuitoa CCM madarakani mwaka ule subirini miaka 100 mbele, mkabisha

Hakuna mwananchi wa kawaida mwenye time na ninyi ndio maana hata huko ambako angehutubia leo Hakuna yeyote aliejitokeza wala Hakuna movement yoyote kupinga uamuzi wa kamati ya maadili, wananchi wanaendelea na maisha yao ya kawaida
 
Kwani hujui utifauti wa mazingira ya kiutawala kipindi Cha JK na Magu? Na kwa taarifa yako Lisu kaleta uhai wa chama na hata akiongeza mbunge 1 au ku retain waliopo ni ushindi mkubwa Sana .Mimi natembea na mtu mwenye msimamo Sina upuuzi wa kusujudu mtu
 
Hakuna upinzani wa nchi hii uliowahi kuibiwa kura, huo ni wimbo wao waliozoea kuimba wakati wanajua wazi kwamba hawakushinda na hawatashinda kwa sera za Robert amstardam


Ushindi wa Zanzibar kwa ihisani ya Jecha the toilet paper/Condom.
 


Lakini Tundu anamuheshimu Lowasa na kuthamini mchango wake ndani ya CHADEMA na hawezi kumtusi na kumdharau hata siku moja, ...
 
Mimi sintaacha kukujibu gasho wewe
Jibu hoja gasho ndo heshima ya Zimbabwe? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ,wewe unaweza mchagua mtu mbaguzi yule ambaye haishi kwenda gereji? Magoti hayatoshi mtagalagala kabisa Kama nguruwe mwaka huu,TL ni namba nyingine jinga wewe
 

'usikute mnaopampulisha hii inshu Ni maccm'.

Hahah si unaona sasa akili yako ilivyo,yaani muda wa kukuelewesha bora mtu akapige puli tu ajue moja.

'Hv akienguliwa lissu unaweza ww kuingia barabarani kumpambania? ..'

Kwani unadhani matokeo ya uchaguzi yakitoka Chadema imepata wabunge 5 na madiwani 10 nchi nzima wewe utaweza kwenda barabarani kuipambania kama hata sasa hivi tu umeshindwa kuelewa kwamba Chadema inaenda kuchinjiwa baharini kwa busara za Mbowe/kamati kuu za kushindwa kuonyesha kuto-entertain upuuzi wa tume?

Subiri ujionee sasa busara hizi za kamati kuu zitakavyotoa 'matunda mazuri' kwny matokeo ya uchaguzi.
 
Hahah mmejenga flyover,ndege za kumwaga,viwanda mamilioni nchi nzima,tumekua donor country lkn mnaogopa kushindana, tume/police/jeshi vyote vyenu lkn bado mmepiga magoti jukwaani?hahaha chama cha wanyonge bana
 
Katika orodha hiyo ya TBCCCM, NECCCM umesahau kundi moja: umma wa mamilioni ya watanzania wako na Magufuli kwenye ulingo wa mpambano wa kisiasa..
Labda wa chato ingawa wao nao naskia hawampendi kinyama πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aiseeh, kwenye huu uzi unejitahidi sana kucomment mkuu. Shida ni kwamba hicho ni chama cha Mbowe, hivyo ataamua anavyotaka, na ikiwa hivyo hamtakuwa na cha kufanya.
Mimi nafuatilia kwa makini mienendo ya upinzani hususani Chadema,uchaguzi huu ni kipimo tosha,waki mess up tu ndio itakuwa mwisho wao ,wacha waendelee na siasa za ruzuku itafika mahali watajuta,kura mwaka huu ni kwa sababu ya TL,so far wapinzani niliowafahamu personally na nikashiriki siasa zao lakini wamepinduka.Mtu Kama Waitara,Silinde,Shonza,Mwampamba nk Hawa nimeshiriki siasa zao lakini kumbe walikuwa wanatuuza nadhani kalata za Chadema uchaguzi huu zitasaidia kufanya maamuzi ya kila mtu apambane kimpango wake hapo ndipo napasubili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…