Acha kukurupuka pumbavu wewe,Kama ana mchango mchukue asimame leo ili alete wabunge 100.
Wewe ndio huna akili ya kuangalia muktadha na mazingira ya uchaguzi kwa nyakati zote mbili sasa na 2015.Kwa taarifa yako 2015 watu walichagua chama kuliko mtu,huyo Lowasa wako aliongesea tu na kutembelea nyota ya mabadiliko/chama.Na mwaka huu tunachagua mtu na sio chama sasa mngeweka magarasa dizaini ya Nyalandu afu ungeona.Status yangu siwezi kukuambia wewe mburula.Hapa kinachoendelea ni biashara ya ruzuku na si kutafuta dola,technical fault ya kwanza mumefanyaa tunasubili ya pili ,majibu mtayapata vizuri hiyo 2025 labda mcheze vizuri mda huu uliosalia