CHADEMA tuwe makini, huku kuhama Chama kila wilaya kunakoendelea nadhani kuna mkono wa CCM

CHADEMA tuwe makini, huku kuhama Chama kila wilaya kunakoendelea nadhani kuna mkono wa CCM

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.

Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa lengo mahsusi la kuuwa Chama.

Tufikirie mapema jambo hili kabla ya kuja kushangaa ilikuwa vipi CHADEMA ikaharibiwa kirahisi hivyo.
 
Mazoea Yana taabu sana.Nafasi zinazoachwa zizibwe kwa uwazi na chama kisonge mbele na issue ya Reforms ndio inazidi kueleweka kwa watu wengi zaidi.
Kwa sasa Tanzania nzima chama pekee cha kuaminika ni CHADEMA.Vijana wengi waliokata tamaa kuhusu siasa za nchi hii,wameanza kuujua Ukweli kuhusu Chaguzi za maigizo.
 
Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.

Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa lengo mahsusi la kuuwa Chama.

Tufikirie mapema jambo hili kabla ya kuja kushangaa ilikuwa vipi CHADEMA ikaharibiwa kirahisi hivyo.
Sio una Dhani ndio iko hivyo 200% wale jamaa ni wafika bei G55 wote wale hamna kitu ni Bora sasa mawimbi yametulia ukweli unajulikana...

Samia ameamua kutumia mbinu za mwenda zake za kununua wapinzani...

G55 wengine wake zao ni COVID 19 ....unganisha dot sasa..

CHADEMA YA SASA NA WATAKAO BAKI NDIO WATAKUWA WAPINZANI WA KWELI.
 
Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.

Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa lengo mahsusi la kuuwa Chama.

Tufikirie mapema jambo hili kabla ya kuja kushangaa ilikuwa vipi CHADEMA ikaharibiwa kirahisi hivyo.
ADUI MKUBWA WA CHADEMA NI LISU,HECHE,LEMA ,MATUSI,KEJELI MIHEMUKO .BAVICHA,DHIHAKA NA UDIKTETA.CCM Inasingiziwa tu
 
Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.

Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa lengo mahsusi la kuuwa Chama.

Tufikirie mapema jambo hili kabla ya kuja kushangaa ilikuwa vipi CHADEMA ikaharibiwa kirahisi hivyo.
Hakuna Cha Mamuluki ,hamna Cha ubaguzi.

Hao wanaohama ni Pimbi tu hawajulikan Wala hawana impact yoyote Kwa CCM na Dola yake.

Nilitaman Wangeondoka wote maramoja .

Sema wameamua KUTUMIA mbinu ya kuondoka Kila siku kundi kundi wakiamin ndo wanawachanganya wananchi
 
CHADEMA nadhani kuna sehemu akili hazijawakaa sawa. Kila kitu kwenu lawama CCM. Lini mtajitathmini?

Nyie Miungu watu hamwezi kufanya makosa chamani!! Duh
MWACHIENI LISSU KAMA MNA AKILI.LAKINI MTAENDELEA KUMSHIKILIA KWA KESI YA MCHONGO KWA VILE HAMNA AKILI.CCM WOTE NI TAKATAKA.
 
Anzieni hapa.

Siasa haina ushabiki kama wa Simba na Yanga! Kwamba wewe ukishakuwa Simba ni Simba milele au Yanga milele. Watu wanaingia kwenye siasa kama njia ya maisha! Pigia mstari maisha! Wanaamini siku Moja watatoka au wataambulia vijechenji vidogo vidogo kwenye mikutano na michakato mingine ya kichama!

Kitendo Cha CHADEMA kukosa wabunge wengi 2020, na kutokuwa na tumaini la kisiasa 2025 kwa sababu ya No reform, no election haiwapi matumaini baadhi ya wanachama!

Hata walioko CCM au wanaoshabikia CCM wanafanya hivyo kwa sababu kula yao kwa namna Moja au nyingine inapitia CCM!

TAFAKARI!
 
MWACHIENI LISSU KAMA MNA AKILI.LAKINI MTAENDELEA KUMSHIKILIA KWA KESI YA MCHONGO KWA VILE HAMNA AKILI.CCM WOTE NI TAKATAKA.
Lissu anaingiaje kwenye mada hii.

Kila linalotokea kwenu CCM.... hii ni moja ya sign ya cowardness. Lini mtakubali na nyie mnafanya makosa ya kimkakati ndiyo maana mmekosa mvuto na wanachama wanawahama!!
 
CCM NDIYO TATIZO HATA HUKU MITAANI NI TAABU MAANA MMEFANYA KUWA CHADEMA KAMA KOSA KUBWA LA JINAI.
 
Anzieni hapa.

Siasa haina ushabiki kama wa Simba na Yanga! Kwamba wewe ukishakuws Simba ni Simba milele au Yanga milele. Watu wanaingia kwenye siasa kama bjia ya maisha! Pigia mstari maisha! Wanaamini siku Moja watatoka au wataambulia vijechenjia vidogo vidogo kwenye mikutano na michakato mingine ya kichama!

Kitendo Cha CHADEMA kukosa wabunge wengi 2020, na kutukuwa na tumaini la kisiasa 2025 kwa sababu ya No reform, no election haiwapi matumaini baadhi ya wanachama!

Hata walioko CCM au wanaodhabikia CCM wanafanya hivyo kwa sababu kula yao kwa namna Moja au nyingine inapitia CCM!

TAFAKARI!
Lingine wao ni Miungu watu.
Likitokea lolote wanatafuta wa kumpa lawama of which I don't have a problem with. Matatizo ya mtu yanaweza kusababishwa na mtu mwingine.

Ila kila tatizo lako unatafuta wa kumlaumu basi kuna tatizo mahala. Kujisahihisha ni muhimu saana huku pia tukiendelea kulaumu vyombo vya dola.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Soon vita itahamia CCM hao wabunge waliopo CCM nani atakubali kiti kichukuliwe na hao G55?

Kosa la yule Mzee wa Nkasi la Aida wa Chadema kuchukuwa Jimbo kamwe halitajiludia
 
CHADEMA nadhani kuna sehemu akili hazijawakaa sawa. Kila kitu kwenu lawama CCM. Lini mtajitathmini?

Nyie Miungu watu hamwezi kufanya makosa chamani!! Duh
Very well said, wengine tulipigia kura Chadema na kuamini kwenye sera zake kwenye chaguzi zilizopita, ila kwa sasa kila anayekosoa au kuonyesha kwamba kuna mambo hayako sawa basi anaitwa kijani, inakwaza kwa kweli.

Nafikiri kukosa willingness ya kusikiliza constructive criticism, itacost chama sana. Na kama hii ipo mpaka ngazi za juu, basi kusiwe na mshtuko kwanini baadhi ya wanachama wanajiengua.
 
Back
Top Bottom