Mpangaji OG
Member
- Dec 10, 2024
- 18
- 23
Usiseme unadhani, ndio ilivyo , kuna pesa ndefu imetengwa
Wakati mwingine unatamani kujiuliza, "kwani hawa chadema wanafir......nini'?!!!" Yaani Kila tatizo lao basi wanamsukumia Samia. Kwa mtindo huu mtabaki hivyo hivyo milele, pumbaaavu.Sio una Dhani ndio iko hivyo 200% wale jamaa ni wafika bei G55 wote wale hamna kitu ni Bora sasa mawimbi yametulia ukweli unajulikana...
Samia ameamua kutumia mbinu za mwenda zake za kununua wapinzani...
G55 wengine wake zao ni COVID 19 ....unganisha dot sasa..
CHADEMA YA SASA NA WATAKAO BAKI NDIO WATAKUWA WAPINZANI WA KWELI.
Haiwezi kuelewa hii midude, sijui nani kaiozesha akili aisee!!Amandla Awethu/Ngawethu ni battle cry ya ANC na sio ya Chadema. Hizo unazoita Principles zingetumika, Lissu asingekuwa leo Mwenyekiti maana alipinga waziwazi uamuzi halali wa chama chake kuingia katika maridhiano. Chama ambacho hakiruhusu mawazo mbadala ni ama kiwe cha dikteta au ki sinyae kwa kukosa mbinu mpya. Waliongoza jitihada za kuwaondoa Zitto na Kitila ni hao hao unaowatetea leo. Mimi toka mwanzo nilipinga maana niliona ina set precedence mbaya. Na kweli ikawa hivyo.
Shida yangu na Slaa ilikuwa ni yeye kutoa tuhuma nzito bila uthibitisho wowote dhidi ya chama chake.
Tatizo kubwa la Chadema ni kuwa wameanza kuamini wimbo walizokuwa wanajiimbia. Kuwa wao wamekamilika na wanaweza kuitoa CCM madarakani bila kushirikiana na chama kingine. Wamefikia hatua ya kuwaona watu ambao wamekifikisha chama kilipo wanatukanwa matusi ya nguoni na watu ambao walikuwa hata hawajaziliwa wakati chama kina undwa.
Chadema kimekuwa kama CCM mpya iliyojivika kanzu ya upinzani. Hawa wakiingia madarakani hawatakuwa tofauti na CCM. Wazo hilo ndilo linalotutisha wengine. Chawa wa CDM hana tofauti ya yule wa CCM.
Amandla...
NGAWETU...
Ameona aibu maana hiyo nyomi amejua watu hawaelewi G55 ni nini.Wenje jana kakataa waziwazi mbele ya nyomi ya watu Geita na kusema,"NO REFORM NO ELECTION".
Cdm imegoma kusaini sheria/kanuni zinazoibeba ccm, hivyo tume imesema cdm haitashiriki uchaguzi. Kumekuwa na shinikizo vyama vya upinzani viungane ili kuishinda ccm, na kikwazo inaonekana ni cdm, mbona sasa cdm imezuiwa kushiriki uchaguzi hatuoni hivyo vyama vingine vikiungana kuitoa ccm madarakani? Mchambuzi wetu tuambie shida iko wapi?Amandla Awethu/Ngawethu ni battle cry ya ANC na sio ya Chadema. Hizo unazoita Principles zingetumika, Lissu asingekuwa leo Mwenyekiti maana alipinga waziwazi uamuzi halali wa chama chake kuingia katika maridhiano. Chama ambacho hakiruhusu mawazo mbadala ni ama kiwe cha dikteta au ki sinyae kwa kukosa mbinu mpya. Waliongoza jitihada za kuwaondoa Zitto na Kitila ni hao hao unaowatetea leo. Mimi toka mwanzo nilipinga maana niliona ina set precedence mbaya. Na kweli ikawa hivyo.
Shida yangu na Slaa ilikuwa ni yeye kutoa tuhuma nzito bila uthibitisho wowote dhidi ya chama chake.
Tatizo kubwa la Chadema ni kuwa wameanza kuamini wimbo walizokuwa wanajiimbia. Kuwa wao wamekamilika na wanaweza kuitoa CCM madarakani bila kushirikiana na chama kingine. Wamefikia hatua ya kuwaona watu ambao wamekifikisha chama kilipo wanatukanwa matusi ya nguoni na watu ambao walikuwa hata hawajaziliwa wakati chama kina undwa.
Chadema kimekuwa kama CCM mpya iliyojivika kanzu ya upinzani. Hawa wakiingia madarakani hawatakuwa tofauti na CCM. Wazo hilo ndilo linalotutisha wengine. Chawa wa CDM hana tofauti ya yule wa CCM.
Amandla...
NGAWETU...
CDM imezuiwa kushiriki uchaguzi??? au imekataa kushiriki uchaguzi?mbona sasa cdm imezuiwa kushiriki uchaguzi hatuoni hivyo vyama vingine vikiungana kuitoa ccm madarakani? Mchambuzi wetu tuambie shida iko wapi?
Katika vyama vilivyobaki katika kinyang'anyiro vingi viko upande wa CCM. Ila chama kama ACT Wazalendo ni mshindani haswa wa CCM. Kwa ACT-WAZALENDO kutokuwepo CDM ni golden opportunity ya kuwa chama kikuu cha upinzani. ACT-WAZALENDO ni pragmatic na wanajua kuing'oa CCM itakuwa kazi ngumu sana. Lakini wakiwa chama kikuu cha upinzani bara na Zanzibar watakuwa katika nafasi nzuri 2030. Katika siasa miaka 5 ni mingi mno na lolote linaweza kutokea.Cdm imegoma kusaini sheria/kanuni zinazoibeba ccm, hivyo tume imesema cdm haitashiriki uchaguzi. Kumekuwa na shinikizo vyama vya upinzani viungane ili kuishinda ccm, na kikwazo inaonekana ni cdm, mbona sasa cdm imezuiwa kushiriki uchaguzi hatuoni hivyo vyama vingine vikiungana kuitoa ccm madarakani? Mchambuzi wetu tuambie shida iko wapi?
Watahama wangapi? Ulishawahi kuona chama kinachokufa kwa watu kuhama? Mimi sijawahi sikia hilo.Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.
Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa lengo mahsusi la kuuwa Chama.
Tufikirie mapema jambo hili kabla ya kuja kushangaa ilikuwa vipi CHADEMA ikaharibiwa kirahisi hivyo.
Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.

Ukweli mtupuAnzieni hapa.
Siasa haina ushabiki kama wa Simba na Yanga! Kwamba wewe ukishakuwa Simba ni Simba milele au Yanga milele. Watu wanaingia kwenye siasa kama bjia ya maisha! Pigia mstari maisha! Wanaamini siku Moja watatoka au wataambulia vijechenjia vidogo vidogo kwenye mikutano na michakato mingine ya kichama!
Kitendo Cha CHADEMA kukosa wabunge wengi 2020, na kutukuwa na tumaini la kisiasa 2025 kwa sababu ya No reform, no election haiwapi matumaini baadhi ya wanachama!
Hata walioko CCM au wanaodhabikia CCM wanafanya hivyo kwa sababu kula yao kwa namna Moja au nyingine inapitia CCM!
TAFAKARI!
Gentleman,Usishangae hapo zandrano, Luca mwashambwa, Tlaatlaah, johnthebaptist na WA aina zao kuhama chadema.
Hawana impact hao, no reforms no elections ndiyo habari ya mjini.
Imekataa kusaini kanuni za uchaguzi zenye upendeleo. Na hapo tume ikasema cdm hairuhusiwi kushiriki uchaguzi kwakuwa haijasaini kanuni za maadili ya uchaguzi. Unataka ufafanuzi zaidi?CDM imezuiwa kushiriki uchaguzi??? au imekataa kushiriki uchaguzi?Mbona unachanganya mambo mkuu!
Cdm haipiganii kuwa chama kikuu cha upinzani boss. Kama siasa za miaka mitano kuwa nje ya uchaguzi ni mingi, tusingeona ACT wakiporwa uchaguzi hapo Znz, maana CUF haikushiriki uchaguzi wa kihuni wa marudio 2016. Kama hivyo vyama vingine ni mapandikizi ya ccm, wale mnaosema cdm kina ubinfasi hawataki kuungana vyama vya upinzani mnamaanisha nini?Katika vyama vilivyobaki katika kinyang'anyiro vingi viko upande wa CCM. Ila chama kama ACT Wazalendo ni mshindani haswa wa CCM. Kwa ACT-WAZALENDO kutokuwepo CDM ni golden opportunity ya kuwa chama kikuu cha upinzani. ACT-WAZALENDO ni pragmatic na wanajua kuing'oa CCM itakuwa kazi ngumu sana. Lakini wakiwa chama kikuu cha upinzani bara na Zanzibar watakuwa katika nafasi nzuri 2030. Katika siasa miaka 5 ni mingi mno na lolote linaweza kutokea.
Amandla...
Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.
Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa lengo mahsusi la kuuwa Chama.
Tufikirie mapema jambo hili kabla ya kuja kushangaa ilikuwa vipi CHADEMA ikaharibiwa kirahisi hivyo.
Pamoja na kwamba siasa ni haki ya mtu ila hawa G55 wameonyeaha utoto wa kiwango cha juu. Kwamba kwa sababu wamekosa uongozi basi wameamua kukivuruga chama. Wanategemea nani atawaamini tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.
Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa lengo mahsusi la kuuwa Chama.
Tufikirie mapema jambo hili kabla ya kuja kushangaa ilikuwa vipi CHADEMA ikaharibiwa kirahisi hivyo.
Hao ni mamluki wa mbowe na wale mafisadi ndani ya chademaKila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.
Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa lengo mahsusi la kuuwa Chama.
Tufikirie mapema jambo hili kabla ya kuja kushangaa ilikuwa vipi CHADEMA ikaharibiwa kirahisi hivyo.
Mbona hilo liko wazi kabisa, hiyo ni handwork ya CCM ikiratibiwa kwa ustadi mkubwa na Freeman Mbowe.Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.