Sio una Dhani ndio iko hivyo 200% wale jamaa ni wafika bei G55 wote wale hamna kitu ni Bora sasa mawimbi yametulia ukweli unajulikana...Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.
Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa lengo mahsusi la kuuwa Chama.
Tufikirie mapema jambo hili kabla ya kuja kushangaa ilikuwa vipi CHADEMA ikaharibiwa kirahisi hivyo.
ADUI MKUBWA WA CHADEMA NI LISU,HECHE,LEMA ,MATUSI,KEJELI MIHEMUKO .BAVICHA,DHIHAKA NA UDIKTETA.CCM Inasingiziwa tuKila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.
Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa lengo mahsusi la kuuwa Chama.
Tufikirie mapema jambo hili kabla ya kuja kushangaa ilikuwa vipi CHADEMA ikaharibiwa kirahisi hivyo.
Wenje jana kakataa waziwazi mbele ya nyomi ya watu Geita na kusema,"NO REFORM NO ELECTION".Tunataka wote waondoke mpk Wenje na Mbowe
ADUI MKUBWA WA CHADEMA BIBI TOZO NA SERIKALI YAKE,CCM NA POLICCMADUI MKUBWA WA CHADEMA NI LISU,HECHE,LEMA ,MATUSI,KEJELI MIHEMUKO .BAVICHA,DHIHAKA NA UDIKTETA
Hakuna Cha Mamuluki ,hamna Cha ubaguzi.Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.
Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa lengo mahsusi la kuuwa Chama.
Tufikirie mapema jambo hili kabla ya kuja kushangaa ilikuwa vipi CHADEMA ikaharibiwa kirahisi hivyo.
MWACHIENI LISSU KAMA MNA AKILI.LAKINI MTAENDELEA KUMSHIKILIA KWA KESI YA MCHONGO KWA VILE HAMNA AKILI.CCM WOTE NI TAKATAKA.CHADEMA nadhani kuna sehemu akili hazijawakaa sawa. Kila kitu kwenu lawama CCM. Lini mtajitathmini?
Nyie Miungu watu hamwezi kufanya makosa chamani!! Duh
Lissu anaingiaje kwenye mada hii.MWACHIENI LISSU KAMA MNA AKILI.LAKINI MTAENDELEA KUMSHIKILIA KWA KESI YA MCHONGO KWA VILE HAMNA AKILI.CCM WOTE NI TAKATAKA.
CCM NDIYO TATIZO HATA HUKU MITAANI NI TAABU MAANA MMEFANYA KUWA CHADEMA KAMA KOSA KUBWA LA JINAI.Lissu anaingiaje kwenye mada hii.
Kila linalotokea kwenu CCM.... hii ni moja ya sign ya cowardness. Lini mtakubali na nyie mnafanya makosa ya kimkakati ndiyo maana mmekosa mvuto na wanachama wanawahama!!
Adui mwingine wa CHADEMA kupenda ajenda za ushoga kutoka kwa wazunguADUI MKUBWA WA CHADEMA BIBI TOZO NA SERIKALI YAKE,CCM NA POLICCM
Lingine wao ni Miungu watu.Anzieni hapa.
Siasa haina ushabiki kama wa Simba na Yanga! Kwamba wewe ukishakuws Simba ni Simba milele au Yanga milele. Watu wanaingia kwenye siasa kama bjia ya maisha! Pigia mstari maisha! Wanaamini siku Moja watatoka au wataambulia vijechenjia vidogo vidogo kwenye mikutano na michakato mingine ya kichama!
Kitendo Cha CHADEMA kukosa wabunge wengi 2020, na kutukuwa na tumaini la kisiasa 2025 kwa sababu ya No reform, no election haiwapi matumaini baadhi ya wanachama!
Hata walioko CCM au wanaodhabikia CCM wanafanya hivyo kwa sababu kula yao kwa namna Moja au nyingine inapitia CCM!
TAFAKARI!
Wazungu wana akili kuliko Waarabu wenu ambao mnawapa nchi kimya kimya.Adui mwingine wa CHADEMA kupenda ajenda za ushoga kutoka kwa wazungu
Chama kinachotetea na kukumbatia ajenda ya ushoga ni chama hatari sanaWazungu wana akili kuliko Waarabu wenu ambao mnawapa nchi kimya kimya.
Very well said, wengine tulipigia kura Chadema na kuamini kwenye sera zake kwenye chaguzi zilizopita, ila kwa sasa kila anayekosoa au kuonyesha kwamba kuna mambo hayako sawa basi anaitwa kijani, inakwaza kwa kweli.CHADEMA nadhani kuna sehemu akili hazijawakaa sawa. Kila kitu kwenu lawama CCM. Lini mtajitathmini?
Nyie Miungu watu hamwezi kufanya makosa chamani!! Duh
Wale mashoga wa Zanzibar na pwani ni CHADEMA?Acha uongo wewe.Chama kinachotetea na kukumbatia ajenda ya ushoga ni chama hatari sana