CHADEMA tuwe makini, huku kuhama Chama kila wilaya kunakoendelea nadhani kuna mkono wa CCM

Wakati mwingine unatamani kujiuliza, "kwani hawa chadema wanafir......nini'?!!!" Yaani Kila tatizo lao basi wanamsukumia Samia. Kwa mtindo huu mtabaki hivyo hivyo milele, pumbaaavu.
 
Haiwezi kuelewa hii midude, sijui nani kaiozesha akili aisee!!
 
Cdm imegoma kusaini sheria/kanuni zinazoibeba ccm, hivyo tume imesema cdm haitashiriki uchaguzi. Kumekuwa na shinikizo vyama vya upinzani viungane ili kuishinda ccm, na kikwazo inaonekana ni cdm, mbona sasa cdm imezuiwa kushiriki uchaguzi hatuoni hivyo vyama vingine vikiungana kuitoa ccm madarakani? Mchambuzi wetu tuambie shida iko wapi?
 
Nimepita mtaa mmoja katika manispaa fulani hapa nchini nikaona rudo la kadi za chadema zimetelekezwa. Sikujua ni zimemwaga kama takataka au kuna tawi wamehamia kwenye chama kingine
 
Hakuna nyakati ngumu kwa chama kupanga safu bora ya mashambulizi kama nyakati za mabadiliko ya uongozi wa juu wa chama .

Hii ondoka ondoka inayotokea sasa nimtaji muhimu sana kwa musktakabali bora wa kesho ya Chadema .

Natamani Chadema iendelee kutikiswa ili ifanikiwe kuondoa uchafu wote then ianze upya .

Msisahau kwasasa kasi ya uungwaji mkono na wanainji imeongezeka mara 80% zaidi

Top Cream ya chama iko nondo sana.
 
mbona sasa cdm imezuiwa kushiriki uchaguzi hatuoni hivyo vyama vingine vikiungana kuitoa ccm madarakani? Mchambuzi wetu tuambie shida iko wapi?
CDM imezuiwa kushiriki uchaguzi??? au imekataa kushiriki uchaguzi?

Mbona unachanganya mambo mkuu!
 
Katika vyama vilivyobaki katika kinyang'anyiro vingi viko upande wa CCM. Ila chama kama ACT Wazalendo ni mshindani haswa wa CCM. Kwa ACT-WAZALENDO kutokuwepo CDM ni golden opportunity ya kuwa chama kikuu cha upinzani. ACT-WAZALENDO ni pragmatic na wanajua kuing'oa CCM itakuwa kazi ngumu sana. Lakini wakiwa chama kikuu cha upinzani bara na Zanzibar watakuwa katika nafasi nzuri 2030. Katika siasa miaka 5 ni mingi mno na lolote linaweza kutokea.

Amandla...
 
Watahama wangapi? Ulishawahi kuona chama kinachokufa kwa watu kuhama? Mimi sijawahi sikia hilo.
 

Usishangae hapo zandrano, Luca mwashambwa, Tlaatlaah, johnthebaptist na WA aina zao kuhama chadema.

Hawana impact hao, no reforms no elections ndiyo habari ya mjini.
 
Ukweli mtupu
 
Usishangae hapo zandrano, Luca mwashambwa, Tlaatlaah, johnthebaptist na WA aina zao kuhama chadema.

Hawana impact hao, no reforms no elections ndiyo habari ya mjini.
Gentleman,
hapo sio suala la impacts,
La muhimu zaidi ni kila moja kuheshimu uhuru na haki za kikatiba bila wengine kuwakasirikia.

ni muhimu kuheshimu hiyo ni muhimu zaidi 🐒
 
Cdm haipiganii kuwa chama kikuu cha upinzani boss. Kama siasa za miaka mitano kuwa nje ya uchaguzi ni mingi, tusingeona ACT wakiporwa uchaguzi hapo Znz, maana CUF haikushiriki uchaguzi wa kihuni wa marudio 2016. Kama hivyo vyama vingine ni mapandikizi ya ccm, wale mnaosema cdm kina ubinfasi hawataki kuungana vyama vya upinzani mnamaanisha nini?
 

Ipo wazi sana hii, haihitaji hata fomfoo kujua wamehongwa! Na wanatumia nafasi hiyo kwa kuwa wasiyempenda kaja, aliyenyooka, anayeichukia na kuipinga rushwa bila kutafuna neno hata moja!
 
Pamoja na kwamba siasa ni haki ya mtu ila hawa G55 wameonyeaha utoto wa kiwango cha juu. Kwamba kwa sababu wamekosa uongozi basi wameamua kukivuruga chama. Wanategemea nani atawaamini tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hao ni mamluki wa mbowe na wale mafisadi ndani ya chadema
 
Mbona hilo liko wazi kabisa, hiyo ni handwork ya CCM ikiratibiwa kwa ustadi mkubwa na Freeman Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…