CHADEMA waendelea na ajenda yao ya maandamano ya amani. Wapeleka barua Polisi kuomba ulinzi

Umeniaibisha sana mzee mwenzangu wakili msomi.
Hiyo sio barua bali ni taarifa rasmi kwa umma kuutaarifu umma kuwa wameitaarifu mamlaka juu ya ruti za MAANDAMANO YA AMANI ya jumatatu hivyo hakuna umuhimu wa ref no. Kwa taarifa kwa umma wala sio kosa afisa habari kusaini tangazo.
Hii sasa aibu kama wakili msomi kwa sababu ya mahaba tuu unaweza kutoliona hilo na kupotosha. Ni vema ndugu zangu mnapo ona kunakucha na mwanga unajitokeza kutoendelea kuishi gizani kwani mtaumbuka soon.
 
Hata kama ikawa hivyo, maandamano hayo ni kuwakomboa haohao makapuku sasa shida iko wapi?
Hivi hamuoni gharama wanayo ilipa hao viongozi utadhani wakikosa kuwa viongozi nao watakuwa makapuku?
Kwenye kupambania haki kila mtu ashiriki kwa nafasi yake.
 
We mbwah hv unajikuaga ni nani kwenye hii nchi...!!
 
Ambao hawataikubali ndio watakuwa wanakiuka katiba na Sheria za nchi. Hivyo shurti wakubali Ili kuitii na kuiheshimu katiba
 
Ndio maana huwa namiss posts zako, nimecheka mno!
 
Kuwaarifu polisi walinde wanaandamanaji Ili wapaze sauti kuwatuhumu polisi hao hao kuwaachia waliotekwa,

Jambo Hilo kulielewa linahitaji uwe na akili za mwendawazimu.
Ipo clear tu... ” au unahitaji ufafanuzi zaidi. Sipo CCM wala CHADEMA
 
Regardless CHADEMA wanafanya haya kwa maslahi yao binafsi au laah,! Ila kwa nchi hii safari bado ni ndefu sana kupata ukombozi, ni kama hawa wanajiita wasomi wamelishwa unga wa ndele. Watu wametawaliwa na ubinafsi, unafiki, kujipendekeza kuonekana, (In islam we call it riyaa) hii ni nusu ya ushirikina.
Wanacho demand CHADEMA kipo clear kabisa wala hakihitaji uwe na 1st class ya university, logically waachwe waandamane kushinikiza matukio machafu na hata yasiyompendeza Mwenyezi Mungu, inside that maandamo hayo yakibainika na uvunjifu wa Amani sheria ichukue mkondo wake haswa. " Remember that haki huinua taifa
 
Maandamano yenu yalishapigwa Marufuku kitambo tu

Sasa barua ya nini tena?
 
Nguli wa Tasinia ya habari kama Paschal Mayalla sikutegemea kama ungekuja na hoja ya aina hii, kwanza hii ni taarifa kwa umma na siyo barua ya kiofisi, nikualike ukasome taarifa kwa vyombo vya habari kutoka ofisi ya raia namba moja wa hii nchi, taarifa zao hazina ref na wala haziko stamped lakin taarifa zake zinafika kwa walengwa.
Cha muhimu sana ,nikukaribishe tarehe 23 September, usipange kukosa.
 
Duh...!, kweli Mzee Mwenzangu, kiukweli uzee unanijia vibaya!. Nitashiriki kikamilifu maandamano tena sio tuu kushiriki bali mimi ni miongoni mwa wahamasishaji wa maandamano hayo!. Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
P
 
Za kuambiwa changanya na zako. Mbaiwayu wataonekana hiyooo tar 23. Kuna mbaiwayu humu najua itakua Kama vile anaandamana mara paap tunasoma comment zake kupitia keyboard.
 
Ndani ya Taarifa yao wameonyesha Maandamano yao yatakapoanzia na kuishia, pamoja na Njia ambazo Maandamano hayo yatakamopita.

Taarifa yao hii hapa


Mungu Ibariki Chadema.
Yaani Chadema kiboko yaani Afisa habari ndie anaomba kibali cha Maandamano

Hiki ni kituko cha karne

Yaani Chadema hata protocol ya bani aandike kuomba kibali hawajui

Viongozi wa juu wa kanda wana mgomo wamegoma kuandika nini?

Hiyo sio barua ya kiofisi hiyo
Jeshi la polisi halihitaji hata kuijibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…