CHADEMA waendelea na ajenda yao ya maandamano ya amani. Wapeleka barua Polisi kuomba ulinzi

Tokomeza zero, maandamano hayahitaji kibali cha Polisi, ni taarifa tu wanapewa watowe ulinzi.

Hiyo ni taarifa kwa umma kama press release na siyo barua.

Ccm imewekeza sana kwenye ujinga.
 
Tokomeza zero, maandamano hayahitaji kibali cha Polisi, ni taarifa tu wanapewa watowe ulinzi.

Hiyo ni taarifa kwa umma kama press release na siyo barua.

Ccm imewekeza sana kwenye ujinga.
Sio kila mtu aweza toa taarifa polisi kuwa chama wakaandamana
Afisa habari hana mamlaka hayo
 
Chief #Pascal Mayalla nakusalimuu sana kama mwaandishi wa habari wa siku nyingi,/Kioo cha jamii

Nakuomba uungane na Viongozi wa CDM kwenye jambo hili muhimu sana kwa taafa letu kuiambia jamii tumechoka kupotezwa kwa nguvu kazi ya taifa letu
 
Kwani wameomba ruhusa au wameomba ulinzi? Na inaonyesha tayari ulinzi umeanza kuimarishwa. Jana tumeonyeshwa polisi wamezagaa dar!
 
Kuwaarifu polisi walinde wanaandamanaji Ili wapaze sauti kuwatuhumu polisi hao hao kuwaachia waliotekwa,

Jambo Hilo kulielewa linahitaji uwe na akili za mwendawazimu.
Vipi kama wote ni Wendawazimu?yaani polisi,chadema,Wananchi,Viongozi.
 
CHADEMA is above next level❤
 
Ndani ya Taarifa yao wameonyesha Maandamano yao yatakapoanzia na kuishia, pamoja na Njia ambazo Maandamano hayo yatakamopita.

Taarifa yao hii hapa


Mungu Ibariki Chadema.
Wewe bilionea wa kyela hatujawahi kusikia umeandamana au kuwekwa ndani huwa unawakimbia wenzako. Siku ile mbeya nikajua na wewe utakamatwa wewe ni snitch kwa wenzako
 
Wapewe kibari kuandamana usiku mchana watavuruga biashara zetu
 
Wewe bilionea wa kyela hatujawahi kusikia umeandamana au kuwekwa ndani huwa unawakimbia wenzako. Siku ile mbeya nikajua na wewe utakamatwa wewe ni snitch kwa wenzako
Unajuaje yanayoendelea?
 
Kukutana Kwa amani nihaki ya kikatiba!!!
Wanatishaa alafu dakika za mwisho wanaruhusu ili watu wawe hawajajiandaa kuandamana ionekane maandamano yamekosa kuungwa mkono nawao waonekane wanademokrasia ...
Akili uchwaraa
 
Ha ha ha , wewe ulifaa kuwa waziri wa kazi na vijana maana unajua kudeal na vijana .

Ni wakati sasa Paskali uingie kwenye Serikali kuu au chukua form ya ubunge .

Haiwezekan bunge limejaza watu kama kina tale tale huku watu critical kama nyie hampo sehemu kama hiyo kutoa michango thabiti….. badala yake vijana wamegeuka kuwa machawa as a year means ya kuishi

Nataman siku moja Upate hata ubunge wa viti malum … TZ inahitaji kuwa na watu critical kama nyie kwenye sehemu nyeti
 
Kuwaarifu polisi walinde wanaandamanaji Ili wapaze sauti kuwatuhumu polisi hao hao kuwaachia waliotekwa,

Jambo Hilo kulielewa linahitaji uwe na akili za mwendawazimu.
Ofcoz, inawapa wakati mgumu sana polisi....

Lakini wafanye nini sasa maana mbegu ya uharibifu waliyoipanda wenyewe kwa ushirikiano na CCM ndiyo hiyo imeota na kuzaa matunda na hivyo ni lazima wavune matunda hayo...

Hawana jinsi. Ni lazima wafuate sheria na wawe mfano kwa hilo kabla kwanza kuwaambia wananchi "kufuata sheria bila shuruti..."

Sheria iko very clear. Ni makosa, vurugu na fujo kuanza kuiwekea mikingamo ili kulinda uharibifu wao. Tuwafundishe na tukatae utamaduni huu wa polisi...
 
Wewe taahira hiyo ni taarifa kwa umma na siyo barua iliyopelekwa Polisi.
 
Wako low level kama hata ku9tisha maandamano wanatuma afisa habari ndie aandike barua polisi kuomba ulinzi wako low level sana
Wewe hiyo barua iliyokwenda polisi umeiona wapi? Nyie ndiyo mnakunya bila kuchamba na kuvuta suruwali kiunoni na mimavi yako matakoni.
 
Wewe hiyo barua iliyokwenda polisi umeiona wapi? Nyie ndiyo mnakunya bila kuchamba na kuvuta suruwali kiunoni na mimavi yako matakoni.
Uzuri moderators wanafahamu kazi yao wamekuleta kwenye huu uzi angalia ipo huu uzi mwanzoni kabisa wa hii mada

Heko moderators kukulleta huku mjinga wewe ili uione
 
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…