Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Tokomeza zero, maandamano hayahitaji kibali cha Polisi, ni taarifa tu wanapewa watowe ulinzi.Yaani Chadema kiboko yaani Afisa habari ndie anaomba kibali cha Maandamano
Hiki ni kituko cha karne
Yaani Chadema hata protocol ya bani aandike kuomba kibali hawajui
Viongozi wa juu wa kanda wana mgomo wamegoma kuandika nini?
Hiyo sio barua ya kiofisi hiyo
Jeshi la polisi halihitaji hata kuijibu
Hiyo ni taarifa kwa umma kama press release na siyo barua.
Ccm imewekeza sana kwenye ujinga.