Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Umoja wa Waandishi wa Habari wa Kujitegemea kanda ya Pwani ( UWHP) umetoa tamko la kutoandika habari za Chadema hadi pale chama hicho kitakapoomba radhi kwa kituo cha TBC na kusamehewa.
UWHP umewataka waandishi wa habari wa taasisi za habari kote duniani kuisusia Chadema kwa sababu imewadharau.
Maendeleo hayana vyama!
Wanalipwa na CCM kuandika habari? au ndio hao waandishi wa Uhuru na Mzalendo pamoja na Dailynews na Sunday news ??