CHADEMA wakaziwa na Umoja wa Waandishi wa Habari Kanda ya Pwani

CHADEMA wakaziwa na Umoja wa Waandishi wa Habari Kanda ya Pwani

Umoja wa Waandishi wa Habari wa Kujitegemea kanda ya Pwani ( UWHP) umetoa tamko la kutoandika habari za Chadema hadi pale chama hicho kitakapoomba radhi kwa kituo cha TBC na kusamehewa.

UWHP umewataka waandishi wa habari wa taasisi za habari kote duniani kuisusia Chadema kwa sababu imewadharau.

Maendeleo hayana vyama!

Wanalipwa na CCM kuandika habari? au ndio hao waandishi wa Uhuru na Mzalendo pamoja na Dailynews na Sunday news ??
 
Hawana lolote hao, vyombo vya habari vilitishia kutokuandika habari za makonda, hata miezi mitatu haikuisha wakaanza taratibu kuandika. Mwenye njaa hana msimamo tusidanganyane.
 
Na sisi kuanzia leo hatutasoma habari za waandishi wa Pwani, wakafie mbele huko sisi hatuna hata habari na ujinga wao.

Yaani katika waandishi na wao watakuwa miongoni? Haya makanjanja failure/ division 5 yanataka kutupanda kichwani?
 
Msemaje mwenyewe ndio yule Dada mlevi (chapombe) kada wa ccm, waende zao wakaandike habari za ccm zinatosha
 
Hawa TBC na vyombo vingine vya habari uchwara wanachekesha sana, kwani wamekuwa wanarusha habari za CHADEMA? Mwenyewe nilishangaa nilipooana eti TBCCM itarusha mubashara mkutano wa CHADEMA! Actually nilitegemea wafanye mabaya Zaidi! Hapa wana Lumumba A.K.A MATAGA ndo watatoka povu! CHADEMA walifanya vyema sana kufukuzia mbali wanafiki na wazandiki hawa TBCCM!
Hawa form four failure wanaojiita "waandishi wa habari Tanzania"ni uchuro tu...Tanzania hakuna mwandishi wa habari ...kuna wasaka tonge!
Kuanzia BBC idhaa ya Kiswahili hadi TBC ni unge-se tu jana nilisikiliza BBC wametangaza habari za Jiwe na Membe tu, shenzi zao hao akina CAROLINE NDOSI na wapumbavu wenzake. CLOUDS FM walikuwa wanajipendekeza sana kwa serikali sasa hivi siwasikii tena!
WATANZANIA HATUMPENDI MH. LISSU KWA KUPITIA TV ,RADIO AU MAGAZETI.....Mh. LISSU yupo mioyoni mwetu......LISSU ANATOSHA!!
 
Umoja wa Waandishi wa Habari wa Kujitegemea kanda ya Pwani ( UWHP) umetoa tamko la kutoandika habari za Chadema hadi pale chama hicho kitakapoomba radhi kwa kituo cha TBC na kusamehewa.

UWHP umewataka waandishi wa habari wa taasisi za habari kote duniani kuisusia Chadema kwa sababu imewadharau.

Maendeleo hayana vyama!

Mlitaka TBCccm waendeleze utopolo wao?

Achenii tutachukua Waandishi toka MIKOA mingine wanaojitambua.
 
Tangu lini TBC wanarusha habari za Chadema?

Wakafie mbali warushe habari za hao mabwana zao maana kwa miaka mitano yote habari za Chadema hatujawahi kuziona TBC namaisha yanaendelea.
 
Tuseme ule ukweli tuu, kitendo cha Mbowe kuwafukuza TBC hakikuwa cha ustaarabu hata. Jamaa walikuwa wanafuata taratibu zao tuu kama kawaida, daily wanalia uhuru wa habari afu wao ndo hivi daaah

Say something!

Hivi pwani kuna chombo gani cha habari? Kiki za kijinga hizi
 
"Eti shirika hilo limekuwa likifanya kazi zake kwa weledi" unafiki na uzandiki level ya phd! Tangu lini tbc wakawa fair kwenye habar za upinzani? Wapeleke matege mbali..shit!
 
Waandishi wa kujitegemea huko pwani ndio uchafu gani nchi hii???!!!
Pathetic
 
Tuseme ule ukweli tuu, kitendo cha Mbowe kuwafukuza TBC hakikuwa cha ustaarabu hata. Jamaa walikuwa wanafuata taratibu zao tuu kama kawaida, daily wanalia uhuru wa habari afu wao ndo hivi daaah...
Wasiendelee kuchochea hasira,nibora wakae wafanye tathimini ya wapi,wanapokosea kwani wasipo badilika kwa dhati wataingia kwenye matatizo makubwa zaidi.

Nibora wakakubali ukweli Kama waliteleza,ama waiiogopa Sheria inayowabana.Lakini Kama ni kuogopa sheria.mbona inafanyakazi kwa upendeleo?waandishi tuwe wakweli
 
Umoja wa Waandishi wa Habari wa Kujitegemea kanda ya Pwani ( UWHP) umetoa tamko la kutoandika habari za Chadema hadi pale chama hicho kitakapoomba radhi kwa kituo cha TBC na kusamehewa.

UWHP umewataka waandishi wa habari wa taasisi za habari kote duniani kuisusia Chadema kwa sababu imewadharau.

Maendeleo hayana vyama!

Lini waliandika kwa ukubwa?
Hivi chadema inaitaji magazeti kweli?
 
Tuseme ule ukweli tuu, kitendo cha Mbowe kuwafukuza TBC hakikuwa cha ustaarabu hata. Jamaa walikuwa wanafuata taratibu zao tuu kama kawaida, daily wanalia uhuru wa habari afu wao ndo hivi daaah

Say something!

Hamuandiki habari za chadema lakini mmesahau mitandao imetapakaaa.shenzy zenu
 
Tuseme ule ukweli tuu, kitendo cha Mbowe kuwafukuza TBC hakikuwa cha ustaarabu hata. Jamaa walikuwa wanafuata taratibu zao tuu kama kawaida, daily wanalia uhuru wa habari afu wao ndo hivi daaah...
Mnajisumbua. Hatutaki musndike habari za chadema, andikeni za ccm tu. Kwa kifupi mkianduka habari za upinzani mtafungiwa.chadema habari zake zinajiandika zenyewe. Hakuna siku mmeandika habari za chadema leo mnawatokea wapi. Sikilizeni BBC leo usiku utawasikia ,nyie mmepita na wakati
 
..wanasema TBC imekuwa ikifanya kazi kwa weledi.

..walitakiwa waseme kwamba pande zote zinapaswa kujirekebisha.

..TBC walianza kukosea, na CDM nao wakakosea.
 
Hawana madhara makubwa sana hao, wasuse tu.
 
Tuseme ule ukweli tuu, kitendo cha Mbowe kuwafukuza TBC hakikuwa cha ustaarabu hata. Jamaa walikuwa wanafuata taratibu zao tuu kama kawaida, daily wanalia uhuru wa habari afu wao ndo hivi daaah

Say something!

Kama umekosa kazi si ulale tu ndo ujinga gani unatuletea cha kwanza tbc inatakiwa iombe radhi watanzania kwa muda wote toka huyu jamaa kaingia madatakani
 
Back
Top Bottom