CHADEMA wakija kukubali huu upumbavu ndo utakuwa mwisho wao

Yani Chawa huwa wanajitoaga ufahamu sana...
 
Polepole alishawaonya kuhusu hili mapema sana.
 
ok.🐒
 
Naunga ngono hoja
 
It is what it is.

Nyinyi mafala endeleeni na kazi zenu za umalaya huko kwa wazungu mmeskia nyinyi.

Huu upumbavu mnaondika mitandaoni msije mkadhani nchi itafeli kwa hizi kelele zenu

Samia ndie Rais wa nchi,wewe kubali au kataa yeye ndie Rais na nyinyi mafala mtaishia kupiga kelele tuh kama hivi

Mlihamasisha vichaa walete vurugu lilichowapata mmekiona.

Kama kweli nyinyi wana harakati why mnajificha nyuma ya keyboard?fanyeni mje mafala nyinyi mpambanie haki na siyo kukaa na kupiga piga kelele mitandaoni haitawasaidia.
 
Hebu rudini nchini kwanza tusaidiane kuing'oa CCm.
Sio nyie mnabeba mabox huko USA mnaingiza dolari halafu sisi tunaumiziwa ndugu zetu huku nyie mkituhamasisha tu.
Njooni nyumbani tupambane kwa pamoja.

Wa.senge kweli hao jamaa

Utakuta.majitu na manywele yao makalioni wanashikiwa akili na vichaa kama hawa na malaya kama mange.

Yani nchi iache kuendeshwa sababu ya mafala kama hawa?
 

Endeleeni kuamini hivyo hivyo

Na sisi tunafurahi muendelee hivyo hivyo

Hii ni nchi ya vyama vingi,na ndiyo maana unaona chadema haipo bungeni na bunge linaendelea tuh kama kawaida

Hata hiko chama kikifa nchi itaendelea
 

Duu Umevuta Bangi ya kutokea wp
Kwaiyo kwasasa
Rais ni NYANI NGABU ‼️
 
CHADEMA imebaki Jina Ila Wale miamba wote waliondoka.
Ukiwaambia vijana hivi hawakuelewi. Ila ndio hivyo.

Huu ni ukweli Mchungu.
Nasikia malkia wa sheba analilia pole kutoka CHADEMA amesema eti hataki kwenye kile kiti hadi CHADEMA waje kumpa pole.
 
Serikali imetaka maridhiano na nani? wao kupitia TEC si ndio wameomba? As long as watumishi wanakula mishahara, posho na marupurupu ya safari za ndani na nje kupitia kodi za biashara basi nchi ipo imara. Nyie subirini mashoga wenzenu wa EU na ICC. Ila nao wapo busy na Iran na Putin anawatoa jasho
Mambo ya vyombo vya kimataifa huchukua muda. Hivyo tuliza kinyeo hicho.

Halafu, serikali gani halali inahaha kutaka maridhiano baada ya “kushinda” uchaguzi kwa 98%?
 

Hivi kuna Raisi ambaye aliwahi kuchaguliwa na wananchi kwa uchaguzi wa haki na huru , Tanganyika na Zanzibar tokea Tanganyika kupata uhuru na Zanzibar kupata uhuru ??
 
Reactions: Lax

Sisi Zanzibar tumeyaona sana hayo kuanzia 1964 mpaka 2020 hatukuwasikia kusema kitu, mkuki kwa nguruwe kwa .......ni mchungu
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…