Wanataka maridhiano na Chadema kwasababu wanajua sasa hivi Watanganyika wote wapo nyuma(bega kwa bega) na Chadema.. Hivyo wanafanya kila mbinu ili waridhiane na CDm.. Maana wakifanikiwa kuridhiana na CDM basi wanachi watakuwa wapole...... Mauaji ya Oct 29 ni laana ambayo haitakaa ifutike milele.. zile damu bado zinalia ardhini.... Na hazitanyamaza mpaka Haki ipatikane na Tanganyika mpya izaliwe
wazenji kwanini mpo wachache hum jukwaani?Sisi Zanzibar tumeyaona sana hayo kuanzia 1964 mpaka 2020 hatukuwasikia kusema kitu, mkuki kwa nguruwe kwa .......ni mchungu
Hata nchini tupo milioni moja na nusu kuelekea mbili , nyinyi watanganyika mpo milioni 60 kuelekea 70wazenji kwanini mpo wachache hum jukwaani?
wazenji kwanini mpo wachache hum jukwaani?
hawa wapemba tunaoishi nao huku wanafuga mbuzi hadi 300, una uhakika muungano ukivunjika watapata sehemu ya kufuga mbuzi, kondoo, kuku kwa kiwango hiki huko zenjibar?Mpo milioni 60 kuelekea 70 na bado wengine mnataka kuungana na watu milioni moja na nusu hizo ni akili kweli ?? Kuna muungano hapo ?? kwa hivyo yanayotokea msilalamike mliyataka au mnayataka
Pesa iliingizwa lini ? nakutoka kwa nani? ili tujifunze mkuuCHADEMA imeshavurugika Mkuu.
Kuna Mambo mengi sana yameivuruga Taasisi, Chadema imebaki jina tu.
FEDHA CHAFU ILIINGIZWA CHADEMA NDIO IKAWA MWISHO WA TAASISI.
Wapemba wapo pia Kenya , Somalia, Msumbiji , Oman , UAE, Kuwait , Iraq ,Uganda nk na wanao zaidi ya hao mbuzi 300, Kama kuvunjika muungano na uvunjike kwni hauna faida yoyote kwa Zanzibar zaidi ya mateso . Wapemba walioko Kenya wamepewa uraia na wakati Mombasa ilikuwa sehemu ya Zanzibar mpaka 1963 au hujui ulikuwa hujazaliwa. Kwanini nyinyi msiwe wastaarabu? wanaweza pia kurudi Pemba ardhi imejaahawa wapemba tunaoishi nao huku wanafuga mbuzi hadi 300, una uhakika muungano ukivunjika watapata sehemu ya kufuga mbuzi, kondoo, kuku kwa kiwango hiki huko zenjibar?
Haramu Haramu !!!
We are back....Moto ni ule ule....
Faida yenu ni ipi?Chemchem tukisema hakuna mkate mgumu mbele ya billioni 5 muwe mnatuelewa.
1. Lemi tulimpiga na 1bn akadengua. Tukamuongeza nyingine akavuta usawa. Anakula mema ya nchi kwenye 5star hotels. Muulizeni Mange.
2. Mkurya tukamrushia 1bn yeye kanunulia magari ya bei mbaya. Jinga kweli hili
3. Ex MP wa ubungo yeye 1bn yake kaamua kununulia bondi za serikali na nyingine anajengea apartments
4. Mwanahabari mkuu wa chama 1bn yake kaamua kuagiza makonteina 1000 ya vipondozi kutoka china
Mnyaturu kakataa pesa eti anataka haki. Huyu tutampiga "LIFE" in segadance. Na ndiyo itakuwa kifo cha chadema
Kuna faida itapatikana?Watu wamechanganyikiwa kweli, Serikali haramu inatambulika hadi UN. Hivi ile fix ya ICC iliishia wapi? Yale maazimio ya EU yaliishia wapi? Lissu ananyongwa kwa uhaini mapema asbh na hakuna nchi itaingilia. Watu duniani wana misala yao huku nyinyi nyipeni umuhimu tu
Mi ninachojuwa, wenye vichwa vikubwa kama vichuguu, watu Hawa huwa hawana akili!Nyinyi mafala endeleeni na kazi zenu za umalaya huko kwa wazungu mmeskia nyinyi.
Huu upumbavu mnaondika mitandaoni msije mkadhani nchi itafeli kwa hizi kelele zenu
Samia ndie Rais wa nchi,wewe kubali au kataa yeye ndie Rais na nyinyi mafala mtaishia kupiga kelele tuh kama hivi
Mlihamasisha vichaa walete vurugu lilichowapata mmekiona.
Kama kweli nyinyi wana harakati why mnajificha nyuma ya keyboard?fanyeni mje mafala nyinyi mpambanie haki na siyo kukaa na kupiga piga kelele mitandaoni haitawasaidia.
Kwanini hamklalamika na kudai haki zao...????Mnasahau damu za Wazanzibari zilizomwagwa na siasa za Babu yenu Nyerere tokea 1964 mpaka 2020
Kupitia matako yako.CHADEMA imeshavurugika Mkuu.
Kuna Mambo mengi sana yameivuruga Taasisi, Chadema imebaki jina tu.
FEDHA CHAFU ILIINGIZWA CHADEMA NDIO IKAWA MWISHO WA TAASISI.
Hakuna Maridhiani na wauaji..
Ili hayo maridhiano yafanyike yafuatayo lazima yafanyike
1. Waliohusika wote na mauaji, yani aliyetoa amri ya kuua mpaka yule aliyevuta trigger risassi ikatoka na kuua wawajibishwe.
2. Maiti za Watangayike zipatike ili wazikwe kwa heshima kama wanadamu.. wale si ng'ombe
3. Uchaguzi mkuu urudiwe.
4. Katiba mpya
5. Maridhiano
Kinyume na hapo hakuna Maridhiano ...kamwe kamwe..
Na lile lizee linalofanana na Orangutan liliwahi kusema bila aibu tena kwa kujiamini kuwa CCM wanaweza kufanya maridhiano na vyama vingine vipatavyo 18 bila CHADEMA.... Sijui wanahangaika nini kama wana ubavu huo. 💢Sasa mkuu kama imebaki jina tu mbona upande uliopo mamlakani unahaha ili kuridhiana nao?
Inaingia akilini chama dola kiridhiane na jina tu? Kuna vyama 19 vyenye usajili wa kudumu kwanini maridhiano yamekwama hadi leo na wakati vyama vyote vipo tayari kwa maridhiano isipokuwa CHADEMA?
Nimekuwa Rais muda mrefu tu sasa. Rais wa wabeba maboksi tokea 2006.Duu Umevuta Bangi ya kutokea wp
Kwaiyo kwasasa
Rais ni NYANI NGABU ‼️