CHADEMA wakija kukubali huu upumbavu ndo utakuwa mwisho wao

Nyie Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Troll JF, Dr wa Manesi, Mtoto wa Shule, MamaSamia2025, Paul Makonda ni kwanini mlimuua huyu mtoto kwa risasi? Alikosea nini huyu mtoto?

Yaani hata kusema maneno machache tu ya tulikosea, tunaomba tusamehewe hili nalo ni gumu kwenu? Hakika ugumu wa mioyo yenu, Jeuri na kiburi chenu ni kaburi na mauti yenu na watoto wenu, kwa sbb aliyeua na kumwaga damu ya binadamu mwenzake sharti na ya kwake imwagwe vilevile..!!

Mtaishije kwa amani kwa miaka yenu iliyosalia hapa duniani iwapo damu za watoto wengi kama huyu zinalia kudai haki na kisasi toka ardhini..?

Mtaikwepea wapi hasira, kisasi na ghadhabu kali ya Mungu aliye juu??

Kupiga watoto kama hawa risasi inaweza vipi kuwa ni makosa ya Tundu Lissu na CHADEMA????

These allegations against CHADEMA & Tundu Lissu don't make any sense huku waliotoa amri ya SHOOT to KILL na waliofyatua risasi kuua wakiwa wanatamba barabarani..!!

Tunataka walioshika bunduki na silaha zingine, Mali ya umma wa Watanganyika zilizowekwa wakfu kulinda usalama wa watoto kama huyu badala yake wahusika wakazigeuza dhidi ya raia na watoto hawa wawajibishwe kwa mujibu wa sheria...

Ni haya tu...

Hatuhitaji udiwani wenu haramu..

Hatuhitaji ubunge wenu haramu..

Na wala Hatuhitaji u-Rais wenu haramu..

TUNATAKA HAKI YA DAMU ZA WATOTO WETU ZINAZOLIA KUDAI KISASI TOKA ARDHINI...

Nothing more, Nothing less...

That's all we want..
 
nonsense
 
He/she acted under the capacity of Criminal
 
Kwanini hamklalamika na kudai haki zao...????
Wewe unaishi sayari ipi ?? Hivi miaka yote hujaona wala kusikia namna gani wanadai haki zao ?? Hivi hujasikia kilichomfika Karume , Jumbe, wale akina marehemu Seif sharrif kiliwafika nini ndani ya CCM ?? kamuulize babu yako akupe habari zote
 
Ukiitwa mahakamani kama Heche ukaulizwa kama ulituona sisi tulimuua huyo mtoto utasema "ndio" au utakuwa kama Heche hadi anatia huruma! Ahahahahaha!!
 
Acha utoto hapo Polepole yuko wapi?
Hebu onyesha kwenye hiyo clip polepole yuko wapi?
Wewe hata Nchimbi utasema yuko Cuba, UVCCM mna kazi ngumu sama.
Vipi Nchimbi pamoja na kuacha kwenda kanisani na hata kuhudhuria jumuia ndiyo hata kwenda kutoa pole kwa aliyekuwa mgombea mwenza hajaenda.
Kuhusu Polepole sawa tukubalieni kuwa hakurudi hizi picha zake hapa ni Cuba na wala genge la Samia, Mafwele na majambazi/wauaji wenzao hawajamuua ameamua tu kukaa kimya baada ya kuona kuwa huyo bibi mvaa shanga nyingi Mrs Chivayo wa Kizimkazi ameacha uuaji.
Hapa👇🏾ni Cuba tumekubali.

Your browser is not able to display this video.
 
Kwamba mimi ni UVCCM!
Ngoja nikupuuze mkuu.
Mtu akishaweka jambo lenye nembo ya Mange huwa sina muda wa kuhangaika nae.
Unaweka picha zilizotumwa na mange? Halafu wewe ni mwanaume?
Hebu tuishie hapa mkuu tuendelee na mada zingine.
 
Hakuna ataake kubali huu upumbavu wako
 
Kwamba mimi ni UVCCM!
Ngoja nikupuuze mkuu.
Mtu akishaweka jambo lenye nembo ya Mange huwa sina muda wa kuhangaika nae.
Unaweka picha zilizotumwa na mange? Halafu wewe ni mwanaume?
Hebu tuishie hapa mkuu tuendelee na mada zingine.
Hata ukipuuza haiondoi ukweli kwamba wewe ni UVCCM.
Endelea kudanganya UVCCM wenzako kwamba Polepole hakurudi bado yuko Cuba ameamua tu kunyamaza.
NB: Hauna authority ya kunipangia tuishie, hata pictures ziwe zimetoka wapi haiondoi ukweli wa tukio halisi, kwepa ukwepavyo lakini nyinyi na Samia wenu mmemuua Polepole.
 
Yes. Wewe na CHADEMA nyoote msimtambue Samia kuwa Rais na msimwite Mama.
Wewe na CHADEMA nyooote msikubali maridhiano na CCM.
Twendeni hivi hivi mpk 2030
 
Tunaendelea.
1. Godbless lema.
2. John Heche.
3. Boniface Jacob.
4. John Mnyika.
5. Lijua Likali.
6.Salum mwalimu.
7. Devotha minja.
8. John mrema.
9. Sigrada mligo.
10. Kingai
Wewe asubuhi asubuhi unapiga visungura badala ya kuamkia chai..
 
Hakuna haja ya maridhiano. Tubaki hivi hivi 2030 wala sio mbali
 
Kwa Historia ya nchi yetu kwa matukio kama ya mwembechai na gesi mtwara.

Na pattern inayoendelea.

Serikali haipo concerned na maridhiano.

Wameweka hoja mezani. Unataka sawa hutaki sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…