Haya sawa.Hata ukipuuza haiondoi ukweli kwamba wewe ni UVCCM.
Endelea kudanganya UVCCM wenzako kwamba Polepole hakurudi bado yuko Cuba ameamua tu kunyamaza.
NB: Hauna authority ya kunipangia tuishie, hata pictures ziwe zimetoka wapi haiondoi ukweli wa tukio halisi, kwepa ukwepavyo lakini nyinyi na Samia wenu mmemuua Polepole.
Tutaenda hivyo milele. Samia kinuka mkojo siyo rais.Yes. Wewe na CHADEMA nyoote msimtambue Samia kuwa Rais na msimwite Mama.
Wewe na CHADEMA nyooote msikubali maridhiano na CCM.
Twendeni hivi hivi mpk 2030
Kama ardhi imejaa huko wangekua huku? 😁 acha kujifariji mkuuWapemba wapo pia Kenya , Somalia, Msumbiji , Oman , UAE, Kuwait , Iraq ,Uganda nk na wanao zaidi ya hao mbuzi 300, Kama kuvunjika muungano na uvunjike kwni hauna faida yoyote kwa Zanzibar zaidi ya mateso . Wapemba walioko Kenya wamepewa uraia na wakati Mombasa ilikuwa sehemu ya Zanzibar mpaka 1963 au hujui ulikuwa hujazaliwa. Kwanini nyinyi msiwe wastaarabu? wanaweza pia kurudi Pemba ardhi imejaa
You're exactly the definition of stupidity, eti Mombasa ilikuwa sehemu ya Zanzibar mpaka 1963, mkiambiwa nendeni shule mnasema 'ilmu dunyaaaa' si lolote mnataka 'ilmu aheraaaa' ona sasa unavyojiaibisha.Wapemba wapo pia Kenya , Somalia, Msumbiji , Oman , UAE, Kuwait , Iraq ,Uganda nk na wanao zaidi ya hao mbuzi 300, Kama kuvunjika muungano na uvunjike kwni hauna faida yoyote kwa Zanzibar zaidi ya mateso . Wapemba walioko Kenya wamepewa uraia na wakati Mombasa ilikuwa sehemu ya Zanzibar mpaka 1963 au hujui ulikuwa hujazaliwa. Kwanini nyinyi msiwe wastaarabu? wanaweza pia kurudi Pemba ardhi imejaa
Kila mtu apush mabadiliko popote aliposimama, Diaspora wanafanya kazi kubwa sana.Hebu rudini nchini kwanza tusaidiane kuing'oa CCm.
Sio nyie mnabeba mabox huko USA mnaingiza dolari halafu sisi tunaumiziwa ndugu zetu huku nyie mkituhamasisha tu.
Njooni nyumbani tupambane kwa pamoja.
Lissu hawezi kufanya kazi pekeyake, mnaofika bei ondokeni kiongozi anayebaki ataendelea na wengine.Watanzania wote walishtushwa na Mauaji ya kutisha ya October 29.
Idadi kubwa ya watu wakaichukia CCM na kudona ni adui yao mkubwa.
Hawapo Chadema ila wakaona CHADEMA ndio tumaini lao.
Ila bahatimbaya sana CHADEMA ni Lissu Tu kwa sasa.
Ndio mtu pekee asiyefika bei.
And? Bibi zako huko vijijini wataacha kutapeliwa tasaf zao?Chemchem tukisema hakuna mkate mgumu mbele ya billioni 5 muwe mnatuelewa.
1. Lemi tulimpiga na 1bn akadengua. Tukamuongeza nyingine akavuta usawa. Anakula mema ya nchi kwenye 5star hotels. Muulizeni Mange.
2. Mkurya tukamrushia 1bn yeye kanunulia magari ya bei mbaya. Jinga kweli hili
3. Ex MP wa ubungo yeye 1bn yake kaamua kununulia bondi za serikali na nyingine anajengea apartments
4. Mwanahabari mkuu wa chama 1bn yake kaamua kuagiza makonteina 1000 ya vipondozi kutoka china
Mnyaturu kakataa pesa eti anataka haki. Huyu tutampiga "LIFE" in segadance. Na ndiyo itakuwa kifo cha chadema
Una umaskini wa akili sana, Heche kuwa na magari matano roho inakutoka wakati CCM wanatumbua kodi zako umetuliza mbupu unawatetea.Himizeni vijana waingie kwenye kilimo kinalipa..si unaona heche ana magari matano kwa kilimo
Nenda kawatoe🤪🤪🤪Kabisaaaa.. serikali yote na Bunge ni Haramu...
Wapemba hawakuja huko tu mkuu hata Somalia walienda kwenye vita hujatumia akili ilikuwaje wakaenda hata Somalia?mbona hiyo namna tunaisoma tokea Babu yenu alivyoivami Zanzibar 2964 mpaka Leo ? Hao viongozi wote wanawekwa na Tanganyika. Mpaka huyo Samia mlimweka nyinyi halafu mnaanza kumlaumuKama ardhi imejaa huko wangekua huku? 😁 acha kujifariji mkuu
Kwamba mpemba ardhi iwe kubwa zenji atoke zenji aende kufuga kondoo rukwa huko?, kwenye huu muungano ukitetereka myu wa kwanza kuisoma namba ni mzenji
Kweli akili yako ni ya monster , kamuulize Babu au Bibi yako au hata kwenye Google unashindwa kuiuliza ? Muulize mKenya yeyote anajua hilo hata Mzee wako Wasira analijua hiloYou're exactly the definition of stupidity, eti Mombasa ilikuwa sehemu ya Zanzibar mpaka 1963, mkiambiwa nendeni shule mnasema 'ilmu dunyaaaa' si lolote mnataka 'ilmu aheraaaa' ona sasa unavyojiaibisha.
Kweli akili yako ni ya monster , kamuulize Babu au Bibi yako au hata kwenye Google unashindwa kuiuliza ? Muulize mKenya yeyote anajua hilo hata Mzee wako Wasira analijua hilo
Genge la Mbowe ,haliwezi kuiua CDM maadam wameshajulikana hill halo litapita,Chadema ni raia na raia ni ChademaCHADEMA imeshavurugika Mkuu.
Kuna Mambo mengi sana yameivuruga Taasisi, Chadema imebaki jina tu.
FEDHA CHAFU ILIINGIZWA CHADEMA NDIO IKAWA MWISHO WA TAASISI.
🙏Nimeipenda hii-"Mtatupoteza watu wa kawaida kama mimi ambao hatuna vyama ila tunaongozwa na kanuni."
Umeokota sijui jaa lipi hizo takatakaView attachment 3671586
Haya mambo ni beyond your comprehension, hebu angalia hapo ni karne gani then ndiyo unaleta upuuzi wa 1963. Hapa si mambo ya elimu ya hapa na pale ya maelekezo kutoka kwa sheha, this shit needs a real education.
Yes. Inatosha kabisa nyie kumwita majina yooote mabaya lkn Samia atabaki kuwa ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu mpk 2030. Hamtaki tafuteni Rais wenu...Tutaenda hivyo milele. Samia kinuka mkojo siyo rais.
Wacha wee; pesa hiyo ilivyoingia ccm wakakaa kimyaa..... wewe tu ndio wajuaCHADEMA imeshavurugika Mkuu.
Kuna Mambo mengi sana yameivuruga Taasisi, Chadema imebaki jina tu.
FEDHA CHAFU ILIINGIZWA CHADEMA NDIO IKAWA MWISHO WA TAASISI.