Elections 2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha


Kiongozi huyu atarudishaje pesa anazotumia kwenye kampeni!? Siku akishika urais tutakoma, olé wenu mnaonunuliwa kuwasaliti watanzania!
 
Hao wanao safirishwa kwa magari Siku ya kupiga kura watasafiriw unatakiwa ujiulize maana yake Hugo jamaa anatuwanga maji kwnye kinu
 
Sikujua kuwa uchaguzi umeshafanyika na Lowassa ameshinda. Kwa hiyo kesho mnamuapisha, eeh? Lakini kesho hiyo hiyo mwiba wa Lowassa, Makongoro Nyerere naye anatangaza nia ya kugombea urais sasa hapo naona ngoma itakuwa inogile kweli kweli.
 

Uongo mwingine ni wa kijinga kabisa.
 

Sijui umekula maharage ya wap wewe
 
Kama Lowassa anajiamini ni kwanini anahangaika kukodi magari ya kusafirisha watu mpaka Arusha?

Sina uhakika kama anakodi magari ila ninachojua anagombea urais wa nchi siyo ubunge wa arusha hivyo wafuasi wake hata wakitokea ngara ni sawa tu
 

Uwepo wa ccm uonekane kwa wingi wa kura.
Huyo lowasa anatutambua kuanzia kwa batilda hadi kwa mkwe arumeru.
 
Hivi wewe na laki si pesa si ni ccm inakuwaje leo mnakuwa na interest tofauti juu ya Lowasa?

Hii ndio demokrasia bila kuitana wasaliti. Jaribu kuwapinga au kutangaza nia huko uliko uone moto. Utafukuzwa na kupewa kila jina. Jifunze ni somo zuri kwako usishangae. Haikuanza leo.
 
Hii ndio demokrasia bila kuitana wasaliti. Jaribu kuwapinga au kutangaza nia huko uliko uone moto. Utafukuzwa na kupewa kila jina. Jifunze ni somo zuri kwako usishangae. Haikuanza leo.

Mimi ni mzalendo wa nchi si wa chama fulani, ila ujue bado hapo sijaona point, unakumbuka kwa nn mlimfukuza shibuda ? Alikuwa anataka kugombea urais wakati boss wenu akiwa anataka kuendelea na uongozi, na kama sijakosea kuna kipindipi mw/kt wenu alitetea nafasi yake akiwa yy na kivuli ili hali watu mpo.
 

Mbona mmenunua sare za CHADEMA ili ionekane kwa inawaunga kumbe si kweli bali usanii
 
wapambe wa lowasa mna siku 42 tu za kucheka,mnashabikia timu ambayo haitaingia nusu fainali,poleni kwa kuabudu dini msiyo jua Mungu wake,

Umekuwa mtabiri siku hizi?
 

Jina la Lowasa lazima lirudi,na ndio rais ajae wa Tanzania
 
Kiongozi huyu atarudishaje pesa anazotumia kwenye kampeni!? Siku akishika urais tutakoma, olé wenu mnaonunuliwa kuwasaliti watanzania!

Lowasa hakuna mtu amemnunua,Tunampenda kwa sababu ni mzalendo.
 
mtoa mada ana matarizo ya ubongo. mbona hakuna uhusiano walowasa kutangaza nia yake ya kugombea urais kupitia ccm na uwepo wa cdm hapo arusha? je ulitaka cdm wamzuie lowasa kutumia haki yake ya kikatiba?
 
Lowasa hakuna mtu amemnunua,Tunampenda kwa sababu ni mzalendo.

mkuu uzalendo upi? huu wa kuwahongga viongozi wa dini? au huu wa kuiteka ccm kwa mapesa yake? ama ni ule wa kuingizia hasara nchi mabilionikutokana na fedheha ya richmond?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…