mwanakwetuu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 407
- 817
Baada ya hapo ndiyo utarudishiwa tenda ya kampuni media yako kwenye shuhuli za serikali?No watatu wengi, upinzani hata ukipata Mbunge 1, anastahili pongezi.
P
Napenda wote tuwe CCM tubaki chama kimoja,maana wapinzani wanaonekana Kama maharamia wakati Ni watanzania.Viongozi wote wa Upinzani hamieni CCM ili walalahoi tuisome namba vizuri.Ccm wanadhani chadema ndo adui yao mkubwa mnajidanganya sana yawezekana ni kweli wasipate mbunge hata mmoja unadhani madhara ni ya mbowe? Lissu ? au sugu? ,tunaenda kuzika rasmi muhimili wa bunge cz wakibaki ccm wenyew itakuwa ni ndiooooooooo kwenda mbele,naililia Tanzania yangu tukutane 2025
Hiyo 2025 bila tume huru,tunajidanganya.Sisiem hii haiwez toka madarakani na makaratasi.Maana wamejipanga kila eneo.Pole nyingi kwa upinzani.Ccm wanadhani chadema ndo adui yao mkubwa mnajidanganya sana yawezekana ni kweli wasipate mbunge hata mmoja unadhani madhara ni ya mbowe? Lissu ? au sugu? ,tunaenda kuzika rasmi muhimili wa bunge cz wakibaki ccm wenyew itakuwa ni ndiooooooooo kwenda mbele,naililia Tanzania yangu tukutane 2025
Be happy be happyKushindwa nini labda unachoshindana na mshindani wako wee
Wapinzani wa sasa wamejitoa mhanga kupambana n mkoloni mweusi ccm n madhira wanayopata ni makubwa sana wakiamua na wao waungane kula keki ya taifa nani ataonesha maovu ktk jamii? Inauma sana sana ila kama kwl mungu yupo atalipia 2Napenda wote tuwe CCM tubaki chama kimoja,maana wapinzani wanaonekana Kama maharamia wakati Ni watanzania.Viongozi wote wa Upinzani hamieni CCM ili walalahoi tuisome namba vizuri
Kama Mdee ameshafeli!Anaekulipa mwombe akurudishie akili yako
Jipe pole wewe na sio upinzani coz leo hii wakiamua kuunga juhudi like dk slaa utawapa pole tena?Hiyo 2025 bila tume huru,tunajidanganya.Sisiem hii haiwez toka madarakani na makaratasi.Maana wamejipanga kila eneo.Pole nyingi kwa upinzani.
Debe tupu!Ahaaa Mimi ni mwana ccm na nimesomeshwa na wazazi wanaccm na wamefanya kazi huko na tuna kiburi sasa,lakini wazazi waliwaza maisha ya sisi watoto kwanza na si maisha ya ccm
Hata tukikosa haina shida mbona mi nataka mjae kijani bungeni ili muendeleze zidumu fikra za mfalme jiweNo watatu wengi, upinzani hata ukipata Mbunge 1, anastahili pongezi!.
P
Kijana wa Halima huyo!Mkuu mbona leo una hasira sana,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jimbo la Nachingwea nalo rasmi limeenda ChademaKijana wa Halima huyo!
Duh!, siamini, haiwezekani!, Chadema watakuwa wameiba kura zetu!, of all the places, Arusha?!, it's next to impossible CCM kushindwa!.Mkuu mbona Arusha tayari? Sasa utoe pongezi kabisa
Na muda huu Nachingwea Chadema imeshinda kata 14 kati ya 15. Utasaga meno nakuelezaDuh!, siamini, haiwezekani!, Chadema watakuwa wameiba kura zetu!, of all the places, Arusha?!, it's next to impossible CCM kushindwa!.
P