Uchaguzi 2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

tuliwaaambia uku kelele zkawa nyingi, sasa tuendelee na kilichobaki kumuongea mda madarakani
 
Kura za CCM zinatoka nec ya chato?yani CCM wamemiliki kura zote kuliko nec
 
Mtu ukileta tathimini hawa vijana wa ufipa wanakimbilia kukutoa akili na matusi juu ila kwa mtu yoyote aliyefanya tathimini ndogo hasa hapa Dsm ameona jinsi CCM ilivyojiandaa kwenye uchaguzi na hali za vyama vingine .

Mawakala wa CCM wanaonekana kabisa ni watu wenye uzoefu na walioandaliwa huku hawa wengine wakileta 60% teenagers wasio na uzoefu wala kujua nini wanapaswa kutofanya na maeneo mengine hakuna mawakala wa upinzani kabisa .

Kituo nilichopiga mimi mawakala wa vyama upinzani hata chakula na maji ya kunywa waliwategemea CCM nikajiuliza sasa hawa hata posho zao watalipwa kweli !
CCM itapata ushindi wa kishindo DSM
 
Chadema asanteni kwa kuja na kushiriki Tanzania ni ya Watanzania tuu nafikiria kuna kitu mmejifunza.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kwa upande wa Mawakala CHADEMA miaka yote sidhani huwa wanakuwa serious Sana.All in all kwa maoni yangu kwenye vituo vya kupigia kura huwa hakuna wizi wowote wa kura
 
Chadema asanteni kwa kuja na kushiriki Tanzania ni ya Watanzania tuu nafikiria kuna kitu mmejifunza.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kila matokeo Yana Nia njema.Huenda kuwafunza CHADEMA au zawadi kwa wananchi au adhabu kwa wananchi
 

Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema) wakiambiwa social media platforms sio ballot boxes wanafungulia floodgate ya matusi. Acha wajifunze kwa maumivu makali!
 
Nasisi wananchi wa kawaida tujivunie nini maana wenye vyeo vyenu ndio mnanafuraha
 
Kwa upande wa Mawakala CHADEMA miaka yote sidhani huwa wanakuwa serious Sana.All in all kwa maoni yangu kwenye vituo vya kupigia kura huwa hakuna wizi wowote wa kura
Aisee kuna jamaa yangu msimamizi mkuu yupo kagera huko karagwe honest anasema kabisa hakuna wizi wa kura lakn ni terrible result Kwa Lisuu, imagine anascore kura 3 , somtyme 0 kabisa baadh ya vituo
 
Hatuhitaji tena kuwakilishwa kwenye jumba la mijibwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…