Pre GE2025 CHADEMA Walalamika Yanga kuimba " Tuna Imani na Samia" yasema ni Kinyume cha Sheria za FIFA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
We huoni ht jezi zao, mambo mengine ni wivu tu, kila kundi lina haki zake. Hata hivyo Samia kwa sasa ni sawa na maji, huwezi kuyaepuka kwa namna yoyote ile.
 
Tanzania ni nchi huru,a souvereign state tunaojitawala wenyewe kwa katiba yetu ya JMT
na hatutawaliwi na katiba ya fifa!, as long as Kandambili hawajavunja sheria yoyote kuimba wimbo wa kuwa na imani na kiongozi wa chama cha sare yao ya Kijani na Manjano, timu yenye jezi za rangi za Chadema, nao rukhsa kuimba wana imani na kamanda ila hata kamanda mwenyewe ana imani na Samia Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!
p
 
Safi Sana πŸ˜€
 
Tanzania ni nchi huru,a souvereign state tunaojitawala wenyewe kwa katiba yetu ya JMT
na hatutawaliwi na katiba ya fifa!
Ni maswala ya namna hii ndiyo hunifanya nikushangae akili zako huwa zinafanya kazi vipi!
Hayo maelezo marefu huko chini sikuyasoma. Yote niliyahusisha na maneno machache niliyonyanyua hapa.
 
Huu ulikuwa ni upumbavu wa kiwango cha PhD kwa timu yangu.
 
Wafadhili wakuu wa Yanga ni kundi la mafisadi wanaoshirikiana na serikali ya Samia na CCM kutuibia
 
Ni kweli, wawe makini siasa na michezi haitakiwi FIFA.
 
Sasa walitaka waimbe wana imani na Mdude? CHADEMA acheni utoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…