saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
We huoni ht jezi zao, mambo mengine ni wivu tu, kila kundi lina haki zake. Hata hivyo Samia kwa sasa ni sawa na maji, huwezi kuyaepuka kwa namna yoyote ile.Mkurugenzi wa CHADEMA John Mrema amesema kitendo cha Wanachama wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA
Ukurasani X Mrema amesema Sheria za FIFA zinakataza kufungamanisha Siasa na Mpira
View attachment 3013814
View attachment 3013733
My take; Dar Young Africans ni CCM 😀