CHADEMA walikosea kukubali kuichoma nchi wanayotaka kuiongoza

Mabadiliko yamefika bado umebaki unaweza kizee, jiandae utaishije ccm ikitoka madarakani, vinginevyo jiandae kuolewa na wanaume wenzio.
Kumbe wewe ndiye Alinacha mwenyewe.
 
milio mingi kutoka kwa wakoloni
Nchi zipi Afrika watu wake wanasafiri 24/7 bila hofu? CCM safiii

Nchi zipi afrika zimesambaza umeme vijiji vyote?

Ni nchi zipi afrika zina reli ya umeme?

Nchi zipi zinagawa pembejeo kwa wakulima wake?

Umeenda nchi gani afrika ukakuta usafiri wa haraka?

Nendeni mkanye mlale
 
Unahitaji kuwa na ujinga huu ili kuitetea CCM. Wewe hujui watoto shule za mjini wanakaa chini, hujui kuwa Mwanza mjini ilipo lake Victoria, kuna kaya nyingi hazina maji, hujui kuwa hospitali nyingi matibabu ni changamoto. ? Kinachoshangaza huu uongo mnamuambia nani, maana watanzania wanatambua hali halisi.
 
Reli hii ambayo TABOA wanaihujumu isisimame na Govt haina cha kufanya? Hivi Makutupora to Tabora imeanza kazi?
 
Kinazungumzwa kwasababu 2 kuu. Kwanza kilichoma mali ya umma na binafsi, pili kimetumika kumpora Mbowe, KKKT chama chake na kukitumia vibaya kupin serikali.
Sorry, Lissu, Mbowe walikuwa gerezani, chama kilikuwa kimezuiwa kufanya shughuli zake, kiliwezaje fanya hayo?
 
Kwa watu wenye akili tunajua issue sio mabadiliko, kuna issuevnyingine kabisa. Chadema inatumiwa tu na watu wenye mashati ya kijani wenye ajenda nyingine kabisaa. Hata hapo CCM itavuka kama ilivyovuka kwa G55 ya Nyelu Kasaka.
Kwahiyo huko CCM wewe pia ni mwenye akili mmoja wapo!!? Basi kumeoza!!
 
Mkuu unakumbuka kabla ya 29/10/2025. CDM walikuwawamefungiwa kujishulisha na mambo ya siasa kwa muda mrefu yaani miezi kadhaa nyuma.
Umeimba chadema chadema.... ila nahsi hauna kumbukumbu za kutosha otherwise ni uchwawa tu.
 
Chadema inawafunika CCM kiasi cha kukimbia mikutano
 
Unakariri sana.
Je, misaada haijapungua nchini kwetu baada ya mauaji ya oktoba 29?.
 
Nchi changa kama hii vitu kama hivyo huwezi kuvikosa. Hata Marekani kuna wanafunzi wasoma kwenye shule za serekali mbaya kabisa, kuna watu wanalala kwwnye viambaza vya nyumba na magari mabovu. South Afrika wanakosaga maji na umeme. Mnadanganywa na wahuni kwakuwa nyinyi ni malofa hamjatembea kokote hamjui kokote zaidi ya kwenu hapo
 
Unakariri sana.
Je, misaada haijapungua nchini kwetu baada ya mauaji ya oktoba 29?.
Mtegemea cha ndugu hufa maskini. Tangu tupate uhuru wanatupa misaada yao mbuzi lakini haitufikishi popote. Wakitunyima misaada wanatupa akili mpya ya kujitegemea. Hao ndio wanaowapa chadema misaada na kuzitunza familia za viongozi wa chadema huko ulaya, lazima watachukia tu kama mapinduzi waliyosaidia yamefeli. Hatushangai.
 
Tusubiri
Mkuu unakumbuka kabla ya 29/10/2025. CDM walikuwawamefungiwa kujishulisha na mambo ya siasa kwa muda mrefu yaani miezi kadhaa nyuma.
Umeimba chadema chadema.... ila nahsi hauna kumbukumbu za kutosha otherwise ni uchwawa tu.
Tusubiri ripoti ya uchunguzi na ushahidi walionao kuhusu nani alifanya nini oct29
Mkuu unakumbuka kabla ya 29/10/2025. CDM walikuwawamefungiwa kujishulisha na mambo ya siasa kwa muda mrefu yaani miezi kadhaa nyuma.
Umeimba chadema chadema.... ila nahsi hauna kumbukumbu za kutosha otherwise ni uchwawa tu.
 
Sasa hayo maandamano yaliitishwa na Chadema? Wacha upotoshaji wa kitoto sisi wote ni watu wazima humu.

Ni chama gani au kiongozi wa chama gani tofauti na CHADEMA waliwai kutangaza kuvuruga uchaguzi,kuhamasisha uasi na kufanya maandamano tofauti na CHADEMA?
 
Ni chama gani au kiongozi wa chama gani tofauti na CHADEMA waliwai kutangaza kuvuruga uchaguzi,kuhamasisha uasi na kufanya maandamano tofauti na CHADEMA?
Hayo ni maneno yako , hakuna kiongozi yoyote wa Chadema aliyesema maneno hayo. Mnatafuta kisingizio cha mauaji ya halaiki mliyofanya 29.10.2025, hii haiwezi kuwasaidia sana sana mnazidi kuwatia wananchi hasira na chuki kwa serikali yenu haramu.
 
Uchanga wa nchi una maanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…