CHADEMA walikosea kukubali kuichoma nchi wanayotaka kuiongoza

Wewe mwenyewe ni Kavulana, una hoja za utoto utoto.

Hao vijana wasio na mwelekeo wasio na chakupoteza nani aliwatengeneza kwa maana ya kuwanyima fursa, mitaji elimu bora na ajira ni Chadema ?

Chadema inamiliki bank gani, ambayo ingewapa mtaji.

Chadema inamiliki chuo gani ambacho ilikataa kuwasomesha.

Chadema inamiliki miradi ipi na fursa za ajira ikawakataa hao vijana.

Acha kuropoka wewe Kavulana, bado wengine hawajaanua matanga ya watoto wao 29/07/2025
 

Hivi CHADEMA kusema kua tuvuruge uchaguzi na kufanya uasi ilikua na malengo gani kwa taifa letu ili Tanzania?
 
Hivi CHADEMA kusema kua tuvuruge uchaguzi na kufanya uasi ilikua na malengo gani kwa taifa letu ili Tanzania?
Nilichosikia hata wewe ndicho ulichosikia, ila unajifanya mwehu.

Reforms maana yake ni uhaini, uasi na kuvuruga uchaguzi.

Kwa nini hamtaki mabadiliko ya kweli
 
Nilichosikia hata wewe ndicho ulichosikia, ila unajifanya mwehu.

Reforms maana yake ni uhaini, uasi na kuvuruga uchaguzi.

Kwa nini hamtaki mabadiliko ya kweli

Mimi sikuwai kusikia reform ila nilisikia anatuambia kua tuvuruge uchaguzi na tufanye uasi
 
Ndio maana serikali ipo kwa ajili ya kutimiza hizo shida za watu.

Soko la hisa limekua kwa asilimia 300 mwaka jana pekee, tutafute wasomi wa uchumi watufungue macho, tunaweza kuwa tunaongelea masuala ya katiba wakati keki ya taifa inafaidisha wasomi na wajanja wachache.
 
Hivi unaelewa dhana ya katiba bora ni nini?
 
Hivi unaelewa dhana ya katiba bora ni nini?
Katiba bora inaleta kitu gani ikiwa watu ni wale wale wapigaji, wavivu na wenye tabia zile zile za kila siku?.

Katiba bora ni maandishi tu ambayo hayaongezi chochote kwenye ustawi wa mtanzania wa kawaida.
 
Mimi sikuwai kusikia reform ila nilisikia anatuambia kua tuvuruge uchaguzi na tufanye uasi
Kama alikumbia wewe tu na yeye chumbani sawa, na tutahoji mlikuwa mnafanya nini, ila kama ni majukwaani tulisikia No reform no election
 
Kama alikumbia wewe tu na yeye chumbani sawa, na tutahoji mlikuwa mnafanya nini, ila kama ni majukwaani tulisikia No reform no election
Kuna muda tunapoteza muda tu kujadili mambo kumbe yanawazidi watu vimo.
 
Umeandika huu utumbo ukiwa umekalia govi la nani hapo lumumba au kizimkazi?
 
Yaani ndiyo hamnazo kabisa. Nchi gani kila kitu kiko sawasawa kabisa? Exposure zenu zina mashaka. Mimi kazi yangu ni fundi wa kuchomelea vyuma, Lissu akiwa Rais ataniongezea nini kwenye kazi yangu?

Mnadanganywa kama mazuzu
 
Uchanga wa nchi una maanisha nini?
KUna nchi zina miaka 250 ya uhiru lakini bado watu wana shida sembuse sisi miaka 60 tu? Mtadanganywa nn ambao hata Kenya tu hamjafika.
 
Nafikiri anamaanisha viongozi wa nchi wana akili changa.
Hata kama tungekuwa walevi vipi haturuhusi nchi tulioapa kuilinda ichomwe, peaneni hizi taarifa. Tutashindwa huku tukiipigania kwa nguvu zetu zote. We will not let the country go to the dogs. Nyerere aliapa hivyo na sisi tutafuata nyao zake hadi hapo vyama vya upinzani vitakapokuwa na palpable leaderships, physible and realistic policies. Sasa hivi bado ni wanaharakati zaidi kuliko uhalisia
 
Ila anasikilizwa, anapendwa ,na anasema ukweli kabisa.

Wananchi tunaona ana haiba kubwa na utu wa kweli leo namtumia tena jioni elfu kumi
Kama wananchi wanaona hivyo asingekuwa kororoni mpaka sasa. Wananchi tuko bize mitaani tunagida bia zetu baada ya kazi. Bro, siku wananchi wakikerwa na jambo kila mtu ajujua kuwa wananchi wamekereka. Muda huo haujafika bado kabisa
 
Kenya wanayo Katiba brand new lakini wako hoi kweikwei, wanashinda barabarani, wachezaji mpira wao wazuri wote wako kwenye ligi ya Tanzania. Unadhani hii imetokea kwa bahati mbaya tu?

Katiba mpya Kenya haijaondoa yale manyata ya Kibera na Mathare, vijana wanakimbia nchi yao kwenda kulipa kodi mataifa mengine.
 
Kwa huu ugumba wa vichwa vyenu , Chadema mnaweza kuifuta lakini nawahakikishieni msipoacha kuiba chaguzi, kuteka na kupoteza raia, uzi ni uleule.
Tunachofanya ni kuendelea kuboresha huduma kwa watanzania na kuilinda nchi, watu na mali zao. Tutaongeza askari, technolojia na risasi zaidi. Vibaraka hawatashinda kanwe. Tumejifunza kutoka Kenya, Somalia, Libya, DRC, Iraq, Mali, Niger, Burkina Faso na kwingineko ambako vijana walihadaiwa na wahuni. Kwetu ni kata funua kwa cheche za moto zote kabla hazichoma taifa lote.
 
Imbecile !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…