Watoke tu sie tutamsikiliza Rais wetu, wao wakitaka ata nchi wahameKwani cha ajabu nini. Ni haki yao kikatiba sema mijitu iliyozoea kuvunja sheria na katiba ndo itakayoshangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
lakini hata yeye alikua anamuogopa mwenyekiti wake,kwanini hakupinga ujio wa lowassa kwenye kikao wakati hatua zote alishiriki lakini baada ya kua mtu kashapewa kijiti cha kupeperusha bendela ndo anajifanya kujienguaSlaa mlimfukuza kwa kejeri zenu mpo kama hampo
lakini hata yeye alikua anamuogopa mwenyekiti wake,kwanini hakupinga ujio wa lowassa kwenye kikao wakati hatua zote alishiriki lakini baada ya kua mtu kashapewa kijiti cha kupeperusha bendela ndo anajifanya kujiengua
Utakuwa ni UJUHA huwezi kumkimbia adui kila wakati.Bora tu wasishiriki maana huenda Bunge likageuzwa jukwaa/uwanja wa kampeni.
Humo huenda watakuwa wamepanga kushangilia na kugonga meza na vijembe kwa wapinzani .
Hivi huwa unatumia kiungo gani kufikiri?
Mjinga kama wewe usijadili mada zinazokuzidi kimoHivi huwa unatumia kiungo gani kufikiri?
Nahisi unatumia olikama, by Rostam
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mmeanza kukumbia leoUtakuwa ni UJUHA huwezi kumkimbia adui kila wakati.
Wasipohudhuria wanaendelea kujizika
Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu Lissu alipigwa risasi nyingi akatibiwa Nrb akatibiwa Ubergiji akiwa huko akafukuzwa ubunge eti ni mtoro hiyo ni reSisi hatujawahi kuwa kwenye record mbaya wala kufikiliwa ukiachilia kelele za ufipani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasipo mzuia Rais kuhutubia Bunge, itakuwa haina maana wabunge hao kususia huku nje wanaisikiliza hiyo hotuba na pia dunia yote kwa ujumla.Unataka watu wapigwe kama kule segerea
Stresses za mmeo usizilete humu singeli ya lisu ilishachacha haiuzi tenaTundu Lissu alipigwa risasi nyingi akatibiwa Nrb akatibiwa Ubergiji akiwa huko akafukuzwa ubunge eti ni mtoro hiyo ni re
cord nzuri??
Mnamtisha hata barozi wa Watu?
Good record my foot!!
Stresses za mmeo usizilete humu singeli ya lisu ilishachacha haiuzi tenaTundu Lissu alipigwa risasi nyingi akatibiwa Nrb akatibiwa Ubergiji akiwa huko akafukuzwa ubunge eti ni mtoro hiyo ni re
cord nzuri??
Mnamtisha hata barozi wa Watu?
Good record my foot!!
Stresses za mmeo usizilete humu singeli ya lisu ilishachacha haiuzi tenaTundu Lissu alipigwa risasi nyingi akatibiwa Nrb akatibiwa Ubergiji akiwa huko akafukuzwa ubunge eti ni mtoro hiyo ni re
cord nzuri??
Mnamtisha hata barozi wa Watu?
Good record my foot!!
Wasipo mzuia Rais kuhutubia Bunge, itakuwa haina maana wabunge hao kususia huku nje wanaisikiliza hiyo hotuba na pia dunia yote kwa ujumla.
Isitoshe, kutokufanya hivyo itakuwa sawa na maamuzi yao ya kususia Bunge la Bajeti, ambayo imedhihirika hayakuwasaidia kufikia lengo lao na badala yake limewaweka njia panda katika ulingo wa siasa..
Wasipo mzuia Rais kuhutubia Bunge, itakuwa haina maana wabunge hao kususia huku nje wanaisikiliza hiyo hotuba na pia dunia yote kwa ujumla.
Isitoshe, kutokufanya hivyo itakuwa sawa na maamuzi yao ya kususia Bunge la Bajeti, ambayo imedhihirika hayakuwasaidia kufikia lengo lao na badala yake limewaweka njia panda katika ulingo wa siasa.
Hivyo basi, vitendo vyao vya kususasusa, wakiwa Waheshimiwa wawakilishi wa wananchi, nawaza kwa sauti tu, ingekuwaje kama wafuatao nao wakiamua kususia majukumu yao na kujifungia kwa siku 14, ili kujihakikishia hawana maambukizi ya korona:
√ Polisi;
√ Madereva wa vyombo vya usafiri (Mabus, Meli, Treni, Daladala);
√ Watumishi wa afya, ambao ndio wako karibu sana na wagonjwa;
√ Wafanya biashara, hasa wa vyakula;
√ Na kadhalika.
Kama lengo ni kusikika kimataifa, njia sahihi ni kupambana, uso kwa uso, na wanae amini anawakandamiza kufikia malengo yao. Wamzuie Rais kulihutubia Bunge.