Tetesi: CHADEMA wamepanga kususia hotuba ya Rais ya kuvunja bunge

Status
Not open for further replies.
Wabunge wapitishe sheria mbunge ukimsusia Rais hotuba yake basi hupati pensheni yako na unakatwa mshahara kiasi. Urais ni kama nembo ya taifa huwezi kuheshimu Bendera alafu umdharau Rais! Au unamheshimu mbowe unamdharau raid wakati mbowe hatoi hata mshahara! Wabishane hko bungeni waache kukimbia hovyo
 
Wananchi wanasira sana na hawa Chadema ,uchaguzi ujao harudi mtu
Umetembelea majimbo yao ukakuta watoro? Kuna wabunge/mawaziri wa ccm yapata miaka hawajawahi kutia mguu bungeni huwasemi kwa nini? NB.Hakuna kupangiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umbea halafu unaona wako sahihi wewe ni mbea mkubwa duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nccr mageuzi ndo mrith wa chadema


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nzuri zaidi wasusie nafasi zao za ubunge na watangaze kuwa mwaka huu hawatagombea nafasi yoyote,itapendeza zaidi.
 
Ujinga tu.Sasa wakisusia jamaa ndo atashindwa kuhutubia ?
 
Hao tumewazoea mkuu. Huko FB wana mtu wao anaitwa CORONAVIRUS TZ yeye daima ni kupika takwimu fake za wagonjwa wa corona na watu waliyokufa kwa corona. Wao na uzarendo wa nchi yao ni maji na kichaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…