Tetesi: CHADEMA wamepanga kususia hotuba ya Rais ya kuvunja bunge

Status
Not open for further replies.
Sasa nani akasikilize pumba za Rais Magufuli?
 
Waache waende zao,sisi tunawabunge wengi wanatisha kumpigia mayowe na makofi rais wetu.
 
Kwanza ondoa neno kuwaita waheshimiwa..chadema ni kundi la kihuni tu kama yale magenge ya wa Mexico
 
Sio kususia hotuba ya JPM tu bali naamini kwa asilimia 75 kuwa hata uchaguzi mkuu watasusia. Watakachofanya ni kushawishi vyama vingine navyo visusie. Najua ACT Wazalendo hawatakubali kujitoa Zbar sijui itakuwaje
 
Ubabe wa CCM ndiyo unasababisha yote haya. CCM bado wako kwenye fikra za chama kimeshika Utamu..... Bado wako kwenye siasa za ujamaa.
 
Japokua chama tawala nacho kimefanya rafu nyingi sana,lakini pia upinzani nao umezingua pakubwa
 
Bora tu wasishiriki maana huenda Bunge likageuzwa jukwaa/uwanja wa kampeni.

Humo huenda watakuwa wamepanga kushangilia na kugonga meza na vijembe kwa wapinzani .
Kama ni kweli kuna mpango wa kususia, KUB awashawishi Wabunge wote wa upinzani wajipange nje ya geti kumzuia Rais asingie ndani ya Bunge, ili Jamii ya Kimataifa ijue kuwa kuna mgogoro wa kisiasa Tanzania. Hakika wakifanya hivyo njia ya kuingia Ikulu itakuwa nyeupeeee!
 
Unataka watu wapigwe kama kule segerea
 
Hatuna upinzania bongo
wamezingua sana dr slaa kaondoka na upinzani wote yeye pekee ndo anajua kujenga hoja mi hadi leo hua namsikiliza akiwa anahojiwa na vyombo vya habari hapa nchini hakika yule mzee ni kichwa sana
 
wamezingua sana dr slaa kaondoka na upinzani wote yeye pekee ndo anajua kujenga hoja mi hadi leo hua namsikiliza akiwa anahojiwa na vyombo vya habari hapa nchini hakika yule mzee ni kichwa sana
Slaa mlimfukuza kwa kejeri zenu mpo kama hampo
 
Wajaribu waone. Watajikuta ni Mbowe na wafuasi wake royal wasiozidi watatu ndiyo watakaotii hiyo amri ya dikteta Mbowe! Na baada ya hapo Mbowe na hao wafuasi wake watatu watatimuliwa kwenye chama cha chadema na wenye chama hicho kwenye mkutano mkuu wao.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…