Chadema Wamepata wapi pesa za Kufanya mikutano na maandamano Nchi nzima kuzidi Chama Tawala?

Chadema Wamepata wapi pesa za Kufanya mikutano na maandamano Nchi nzima kuzidi Chama Tawala?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Nimefatilia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikubwa na maandamano ya hiari ya wananchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana.

Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga.

Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo.

Inahitaji self-motivation, fedha, Munkali na Kujituma sana. Je Chadema wamepata fedha wapi?
Wamegawana Nchi vipande vipande, kanda ya ziwa wapo, Mashariki na Pwani wapo kaskazini na Nyanda za Chini Kusini wapo.
 
Huwa inahitaji kiasi gani kufanya maandamano?
Ulitaka kuona ccm pia wakifanya maamdamano au mikutano?
Umewahi ona mikutano ya CCM. Watu hufatwa na macoster, juzi tu wamefatwa na yutong watu wa kimara.
Plus umeona purukushani za muungano?
Mara mlimani city, maratanganyika pakers asubuhi wakaamkia uhuru.
Okay mm si CCM Wala chadema ila chama tawala kinafanya kasoro maandamano tu.
 
Hiyo ndiyo " NGUVU YA UMMA"

Ukipendwa na wananchi, wataota Mali zao kukusupport, ila usipopendwa utajaribu kuwanunua!!
Hahahaa......ukijaribu kuwanunua ndio i akuwa gharama zaidi
 
Serekali ndio main sponsor wao chiini ya SSH
 
Nimefatiia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikunwa na maandamano ya hiari ya wannchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana.

Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga.

Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo.

Inahitaji self motivation, fedha Munkali na Kujituma sana. Je Chadema wamepata fedha wapi?
Wamegawana Nchi vipande vipande, kanda ya ziwa wapo, Mashariki na Pwani wapo kaskazini na Nyanda za Chini Kusini wapo.
Jamaa wanatumia akili kuliko nguvu kama CCM
 
Nimefatilia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikubwa na maandamano ya hiari ya wannchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana.

Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga.

Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo.

Inahitaji self motivation, fedha, Munkali na Kujituma sana. Je Chadema wamepata fedha wapi?
Wamegawana Nchi vipande vipande, kanda ya ziwa wapo, Mashariki na Pwani wapo kaskazini na Nyanda za Chini Kusini wapo.
Mama kawapa.
 
Back
Top Bottom