Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Mwee.....zilikuwa na mgao? Mwigulu alikubali kutoa?We unadhani zile maridhiano na Samia zilikuwa bure?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwee.....zilikuwa na mgao? Mwigulu alikubali kutoa?We unadhani zile maridhiano na Samia zilikuwa bure?
Mbona wananchi wanajaa au wale ni mawe?Lengo ni kuhadaa jumuiya za kimataifa kuwa mikutano ya demokrasia ruksa.
Swali gani hili, Samia ametoa fedha ili makongamano yafanyike..... mataifa yakiona hivyo kuna faida nyingi na fedha zitarudi.Mbona wananchi wanajaa au wale ni mawe?
HahaaaSwali gani hili, Samia ametoa fedha ili makongamano yafanyike..... mataifa yakiona hivyo kuna faida nyingi na fedha zitarudi.
Tuwaunge mkonoAisee
Sahihi kabisaLengo ni kuhadaa jumuiya za kimataifa kuwa mikutano ya demokrasia ruksa.
Shs 2.7 Billion🙌🏼Samia amechukua kodi zetu na kuwapa chadema
Aione The Stress ChallengerrWanadhaminiwa na wabeba mabox , na wanaofanya kazi kuleta wazee huko ulaya wanaojiita dayasipora ambao wapo masaa 24 huko klabu hausi wanapiga makelele tuu mara watikanane wenyewe ,mara wanaongeza masauti yanayoonyesha wapo DOZI. Halafu eti ndio wanataka uraia pacha huku wakihatarisha amani ya nchi
Oganaizesheni ya Chadema ni ya kiwango cha juu mno, niko humu lakini hadi najishangaa!Nimefatilia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikubwa na maandamano ya hiari ya wananchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana.
Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga.
Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo.
Inahitaji self-motivation, fedha, Munkali na Kujituma sana. Je Chadema wamepata fedha wapi?
Wamegawana Nchi vipande vipande, kanda ya ziwa wapo, Mashariki na Pwani wapo kaskazini na Nyanda za Chini Kusini wapo.
Chadema ni chama kikubwa sana kuliko CCM.Nimefatilia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikubwa na maandamano ya hiari ya wananchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana.
Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga.
Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo.
Inahitaji self-motivation, fedha, Munkali na Kujituma sana. Je Chadema wamepata fedha wapi?
Wamegawana Nchi vipande vipande, kanda ya ziwa wapo, Mashariki na Pwani wapo kaskazini na Nyanda za Chini Kusini wapo.
Chadema wanategemea ufadhili wa ruzuku na ufadhiliNimefatilia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikubwa na maandamano ya hiari ya wananchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana.
Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga.
Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo.
Inahitaji self-motivation, fedha, Munkali na Kujituma sana. Je Chadema wamepata fedha wapi?
Wamegawana Nchi vipande vipande, kanda ya ziwa wapo, Mashariki na Pwani wapo kaskazini na Nyanda za Chini Kusini wapo.
Elimu elimu elimu, ndo upeo wako wa kufikiri mamboNimefatilia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikubwa na maandamano ya hiari ya wananchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana.
Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga.
Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo.
Inahitaji self-motivation, fedha, Munkali na Kujituma sana. Je Chadema wamepata fedha wapi?
Wamegawana Nchi vipande vipande, kanda ya ziwa wapo, Mashariki na Pwani wapo kaskazini na Nyanda za Chini Kusini wapo.
Ufadhili wa niniChadema wanategemea ufadhili wa ruzuku na ufadhili
I think soChadema ni chama kikubwa sana kuliko CCM.
Uko sahihiOganaizesheni ya Chadema ni ya kiwango cha juu mno, niko humu lakini hadi najishangaa!
HahaaaWanadhaminiwa na wabeba mabox , na wanaofanya kazi kuleta wazee huko ulaya wanaojiita dayasipora ambao wapo masaa 24 huko klabu hausi wanapiga makelele tuu mara watikanane wenyewe ,mara wanaongeza masauti yanayoonyesha wapo DOZI. Halafu eti ndio wanataka uraia pacha huku wakihatarisha amani ya nchi
MmhShs 2.7 Billion🙌🏼
halafu...wao ndio wamekuwa chawa. Wameamua kuweka kiwingu kwenye mijadala ya CAG.
Wa ujerumani na 🇩🇰, ulijua ni wa nini?Ufadhili wa nini
Unafikiri Ruzuku ya CCM inawatosha kufanya wanayofanya kama sio kuiba Serikalini na kupeleka chamani!??Ruzuku sidhani kama inatosha kwa hii attack waliyofanya