Chadema Wamepata wapi pesa za Kufanya mikutano na maandamano Nchi nzima kuzidi Chama Tawala?

Wanadhaminiwa na wabeba mabox , na wanaofanya kazi kuleta wazee huko ulaya wanaojiita dayasipora ambao wapo masaa 24 huko klabu hausi wanapiga makelele tuu mara watikanane wenyewe ,mara wanaongeza masauti yanayoonyesha wapo DOZI. Halafu eti ndio wanataka uraia pacha huku wakihatarisha amani ya nchi
 
Aione The Stress Challengerr
 
Oganaizesheni ya Chadema ni ya kiwango cha juu mno, niko humu lakini hadi najishangaa!
 
Chadema ni chama kikubwa sana kuliko CCM.
 
Chadema wanategemea ufadhili wa ruzuku na ufadhili
 
Elimu elimu elimu, ndo upeo wako wa kufikiri mambo
 
Hahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…