Chadema Wamepata wapi pesa za Kufanya mikutano na maandamano Nchi nzima kuzidi Chama Tawala?

Nchi itajengwa na wenye moyo. Ni Imani yangu fedha zinatokana na michango ya ada za uanachama,lakini pia kujitolea kwa wananchi wenye nia njema kwa ajili ya ukombozi wa nchi kutoka kwa mkoloni mweusi! Na mwisho ni matumizi sahihi ya ruzuku kidunchu wanayopewa na serikali ya maccm kwani Chadema wana nidhamu ya matumizi ya fedha za wananchi,kwani zahanati iliyojengwa na serikali ya ccm Kwa mil500,Chadema wangeijenga Kwa mil 100.
 
Na mwisho ni matumizi sahihi ya ruzuku kidunchu wanayopewa na serikali ya maccm kwani Chadema wana nidhamu ya matumizi ya fedha za wananchi,kwani zahanati iliyojengwa na serikali ya ccm Kwa mil500,Chadema wangeijenga Kwa mil 100
Hii pointi yako imenipa new insight
 
Weka kwenye ripoti ya CAG wakamatwe ili nchi iendelee.
 
WATAKUWA WAMEIBA MKUU
 
Hizo pesa za kuzurula na kampeni wangejenga viwanda vidogo vidogo vijana wakapata ajira, hii nchi wangepata mchana kweupe.

Tatizo lako wote wana njaa, wanafaidisha matumbo yao.

Kwa hicho kidogo wanachokipata, kiwanufaishe wananchi waone kwamba wakiwapa kingi watafanya mengi.

Au vyama pinzani hawaruhusiwi kufanya miradi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…