CHADEMA wamesema hawatoshiriki katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Muhambwe

Chadema wapo sahihi kushiriki ni kupotez muda kwa tume hii n watu walewale ndani ya tume
 
Haswaaaaa
 
na nyie wahuni mna faida gani!
Tulia basi utazame uhuni wetu unavyo waua kwa njaa maana sasa hivi hamna tena mtu wa kumramba miguu ili muuze umbea na fitina.
 
Naunga mkono hoja 100%, bamoja na maridhiano KWA Sasa kipaumbele kwanza ni tume huru,katiba mpya, mengine badae,
Sahihi maana kutegemea huruma ya mtu kwa sasa ni kujiingiza kibra kisiasa
 
chadema haipo Buhigwe,ikitokea kiti kipo wazi jimbo lolote la kilimanjaro,zitatolewa sababu tu za kushiriki
Tunaowajua chadema hawatuumizi vichwa
 
We unatakaje?
Yan tuache kufanya mambo ya msingi tuwe busy kutaka kuwaridhisha chadema?

Wakina mnyika na Mbowe walikuwa wabunge kwa tume gani?

Mbona kipindi huko hawakugomea?
Hapo kabla Mwenyekiti hakuwa Kaijage, na mkurugenzi wa uchaguzi hakuwa Mahera bali Kailima
 
Sio lazima kushiriki uchaguzi kama hawana ubavu, wanaweza kubaki kutoa ushauri wa jinsi mambo yanavyo kwenda humu jf, twitter, insta, na fb kama wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…