SI KWELI CHADEMA wametumia Picha ya AI kuongeza idadi ya wafuasi kwenye mkutano wao Arusha?

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Acha wivi nyie viumbe
 
UVCCM mmeaibika sana
 
Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck umejiridhisha kuwa picha inayoonesha idadi ndogo ya watu imehaririwa kwa Akili Unde kutoka kwenye picha halisi ambayo inaonesha idadi kubwa zaidi. Aidha marejeo ya picha za video yanaonesha idadi ya watu sawa kama inavyoonekana katika picha yenye watu wengi💪🏿🔥💥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…