babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,754
Wazo zuri sana. Tatizo hawatakuelewacutelove, Viongozi wa CHADEMA badala ya kulaumu viongozi wanaokihama chama, na wengi wao mliwaamini, ni wakati mwafaka wa kutafuta mchawi ndani ya chama.
Waulize UKAWA wana majibu!Sasa cuf na ccm kwani nivyama tofauti, au chama kimoja.
Ya Zitto umesahau au ulikuwa hujazaliwa?Chadema haijawahi kumvua uanachama mbunge wake yoyote.
Hiyo waliweza CCM na Cuf tu!
Zitto alijiuzulu ubunge hilo liko wazi na liko kwenye kumbukumbu za bunge.
Alikuwa Mbunge wa MahakamaZitto alijiuzulu ubunge hilo liko wazi na liko kwenye kumbukumbu za bunge.
Wewe ulikuwa Useri wakati huo!
Rubbish! umeshatangaza kuwa wewe si mke wangu , unakaa kwangu wanaume wako wakutombee kwangu? Rubbish!Mh. Komu ametangaza kuhama CHADEMA baada ya muda wake wa utumishi Bungeni kumalizika. Binafsi nimemuelewa maana Mbunge ni mtumishi wa Wananchi wote jimboni kwake na ndio maana hata wasio wafuasi wa CHADEMA wapo waliompigia kura.
Tunasubiru tuone nini CHADEMA wataamua ila ikiwa watamvua uanachama ambao utapelekea apoteze nafasi ya kuwatumikia wananchi basi Chadema kwa lugha nyingine watakua wametuambia kuwa kumbe Wabunge ni watumishi wa Chama na yale maneno kuwa tunawatumikia wananchi ni mbwembwe tu?
Ktk hili CHADEMA wana nafasi ya kuonyesha ukomavu, njia na demokrasia ya kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha Chadema kimesema kimemshangaa Antony Komu kuendelea kubaki CHADEMA ili kusubiri posho na huku Imani,itikadi na falsafa ya chama cha CHADEMA hana huku akiwa na itikadi ya NCCR-
Mageuzi
Amesema kesho wataweka wazi kuhusu hilo na ikiwezekana watamvua uanachama
View attachment 1403459
View attachment 1403460
Mke ambaye alichokipata kutoka kwako ni "your last name" tu lakini majukumu mengine yoyote yanayomhusu yeye anajihudumia mwenyewe zaidi tu hata "bill" ya umeme na maji umemwambia achangie kwa sababu anafanya kazi, sasa siku akikwambia anataka kuondoka baada ya miezi miwili kwa kua nyumba yake anamalizia kupaka rangi, Unaumia kwa nini? Sababu ya hako kamchango kidogo utakakokapoteza?Rubbish! umeshatangaza kuwa wewe si mke wangu , unakaa kwangu wanaume wako wakutombee kwangu? Rubbish!
Sumaye alisema CDM hakuna protocol, nadhani mifano ndio kama hiyo.Chadema tatizo linaanzia hapa. Sasa Makene hayo uliyoandika ni mtizamo wa Chama au wa kwako binafsi wakati vikao rasmi vikisubiriwa? Mnakwama wapi?
Ungesubiri basi vikao ndipo uandike kwa kutumia logo ya Chama.
Imekuwa Mbuzi kila mmoja ana ndevu??
Zitto alijiuzulu ubunge hilo liko wazi na liko kwenye kumbukumbu za bunge.
Wewe ulikuwa Useri wakati huo!
Barua ya Zitto kujiuzulu ubunge ipo bungeni .......sasa wewe ndio unajua kuliko bunge zima?!Ndugu acha uongo Zitto hakujivua ubunge alitimuliwa uanachama then alikimbilia mahakaman kulinda ubunge wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wako umechelewa sana,mchawi wanamjua ,wape ushauri mwinginecutelove, Viongozi wa CHADEMA badala ya kulaumu viongozi wanaokihama chama, na wengi wao mliwaamini, ni wakati mwafaka wa kutafuta mchawi ndani ya chama.