SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Hapo ndiyo nakuona una ubishi wa kipumbavu, Zitto alifukuzwa akakimbilia mahakamani ndiyo maana nikakuambia alikuwa Mbunge wa Mahakama.Endelea kukariri!
Sasa wewe kiongozi wa Bavicha halafu hujui Zitto aliondokaje.....hahahaaaa!
Mku hapo umepatia kile "Mangi" anachoweza kukifanya. Hakuna Mangi anaekaa mbali na pesa!!!! Na wakimtosa wakati wanajua uchaguzi ni kesho kutwa itakuwa aibu just because yeye ataenda Mahakamani kama wabunge wengi wanavyofanyaga.Its much more prudent management team Chadema wapuuzie tu.Wakimpiga chini anaweza ning'inia kwenye ubunge wa mahakama mpaka aitie mkononi posho yake"chezea mangi wewe"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mbwiga Zitto angefukuzwa ubunge wake ungekoma automatically kama wa Sophia Simba.Hapo ndiyo nakuona una ubishi wa kipumbavu, Zitto alifukuzwa akakimbilia mahakamani ndiyo maana nikakuambia alikuwa Mbunge wa Mahakama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mku hivi unajua "Prudence" works much better than "Principles"? However, silence is also an answer.Hapana.
Watakuwa wamejivunjia heshima kumwacha mtu kama huyo kwa sababu yoyote ile. Ni lazima wasimame kwenye 'principles' waziaminiazo kama chama.
I am bound to disagree on both aspects: 'prudence' versus 'principle'; and "silence" being an answer based on philosophical argument.Mku hivi unajua "Prudence" works much better than "Principles"? However, silence is also an answer.
Hakuna mchawi chadema chama kiko imara sana na huyo gugu ametambua ndo maana kahama.cutelove, Viongozi wa CHADEMA badala ya kulaumu viongozi wanaokihama chama, na wengi wao mliwaamini, ni wakati mwafaka wa kutafuta mchawi ndani ya chama.
Ndani ya chama hawana mchawi bali mlozi tu. Mlozi wao weshamtambua kuwa ni ccm. Inawaloga na fweza tucutelove, Viongozi wa CHADEMA badala ya kulaumu viongozi wanaokihama chama, na wengi wao mliwaamini, ni wakati mwafaka wa kutafuta mchawi ndani ya chama.
Chadema ndio kinajifia taratibuHamsomeki. Wakisema wanaondoka baada ya muda wao mnakuja na nyuzi hizi wakiondoka kabla wamenunuliwa...dah...
Hakuna kitu kibaya duniani kama kukataa ukweli hata kama unakukabili.
Siyo siri kuwa CDM kuna matatizo makubwa na hii imekuwa ikiendelea kwa miaka mingi sasa. Kukataa ukweli huo haukusahihishi mapungufu ndani ya chama hicho na mwishowe chama chetu kitukufu kitabakia ni chama cha matukio na kesi zisizokuwa na miguu.