Mindi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2008
- 3,523
- 4,992
Mojawapo ya sifa za chama kikuu cha Siasa. Naam, CHADEMA siyo tuuu chama kikuu cha upinzani, bali pia ni chama kikuu cha siasa. Hii ni kwa sababu ccm imekufa kama cha siasa, inekuwa inaishi kujiegemeza Polisi, usalama wa taifa, mahakimu na majaji wabovu, na magereza wala rushwa. Ukiona watu wanazuiwa kusali, kutoa damu, ujue wamebanwa mbavu. Mwisho, wewe kuandika uzi huu, ni uthibitisho kwamba CHADEMA mziki wao mkubwaINTARAHAMWE mmehamasisha watu wasitoe sadaka makanisani halafu mnasema mnakwenda kanisani kufanya maombi? Hivi mko sawa kweli?