CHADEMA wanajiita Chama Kikuu cha upinzani wakati walipata mbunge 1 wanatumia vigezo gani?

Tundu Lisu alipata 13% ya kura zote za Rais!
Pale kinondoni ccm kura zilipigwa cku moja kabla ya zoezi lenyewe.
Kule kawe kunduchi kura zilikamatwa kwenye mabegi.
Kule kasulu jumba la maendleo wasimamizi walifungua vituo saa 9 usiku na kushindilia Kura kwenye masanduku
 
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Wanajiita hivyo kwa sababu ni 'provocative, confrontational and aggressive in the political battle fields'
 
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Ulikuwa unaishi bongo wakati wa uchaguzi 2020?
Kama jibu ni ndio,na ukuona ule "uchafuzi"basi haustahili kuwa uraiani inabidi uwe hospitari ya vichaa milembe,maana kichwa yako haipo sawa
 
Mimi sikuwepo wewe uliokuwepo ni jibu kwa nini mnajiita chama kikuu cha upinzani mmetumia vigezo gani?
 
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
kaondoe funza kwanza kwenye mukichwa yko uweze kufikiri
 
INTARAHAMWE mmehamasisha watu wasitoe sadaka makanisani halafu mnasema mnakwenda kanisani kufanya maombi? Hivi mko sawa kweli?
unamfuatisha kigogo mumeo? naona unatumia misemo yake
 
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
unaweweseka?
 
Basi tuseme CCM ni chama kikuu cha upinzani na chama tawala wakati huo huo... Furahi na mjadala wa kitoto ufungwe.

Wewe ni kenge kweLi
Uchaguzi ule uliochafuliwa na jiwe lililopotea?
Ule ulikuwa ni uchafuzi na si uchaguzi
Na kinachofanya sisiemu iwang`ang`anie wale covid 19 ni nini?
 
Ufungwe vipi nyie Bavicha mnadhani JF ni mali ya Chadema unataka mjadala ufungwe kisa hautaki Chadema usemwe daaah.
 
Wewe ni kenge kweLi
Uchaguzi ule uliochafuliwa na jiwe lililopotea?
Ule ulikuwa ni uchafuzi na si uchaguzi
Na kinachofanya sisiemu iwang`ang`anie wale covid 19 ni nini?
kumbe mnaminyana wakati hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaie tena chama kikuu cha upinzani?
Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge?
 
Najua una hasira na mimi sababu namtafuna bi mkubwa wako hamna namna vumilia tu
Nilidhani hata kama ni jina ni bandia Ritz, uko fit kichwani kumbe ni std seven failure. Nilitegemea uweke arguable post.... Kwaheri
 
Umewhaishiwa hoja unaanza matusi wee jamaa.
Hembu muombe radhi haraka.
Huu ndiyo utaratibu wangu ukija kwa nidhamu utajibiwa kwa nidhamu ukija kihuni takujibu kihuni pitia post yake alivyoanza kunishambilia.
 
Nilidhani hata kama ni jina ni bandia Ritz, uko fit kichwani kumbe ni std seven failure. Nilitegemea uweke arguable post.... Kwaheri
Teh tehe teh naona bakora imekuingia siku ingine utakuja na adabu.
 
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, Chadema ina wafuasi wengi kuliko chama chochote cha Siasa Tanzania ikiwamo CCM yenyewe 😂 😂
 
Back
Top Bottom