CHADEMA wanajiita Chama Kikuu cha upinzani wakati walipata mbunge 1 wanatumia vigezo gani?

Mwehu atasema kitu kikuingie, angalia unavyozodolewa
Hawa Bavicha kunizodoa kawaida yao ebu tuishi humu
👇
Tanzania ina Vijiji 12,319,Mitaa 4,263,Kata 3,956 na Vitongoji 64,384. Naomba takwimu za ofisi za CHADEMA katika ngazi husika ili tuweze kujua NGUVU na uwezo wa Chadema kuiondoa CCM madarakani.
Itapendeza mkija tujadiliane hata na matusi mnakaribishwa.
 
Viongozi wa CHADEMA tokeni kwa “Space” nendeni kwa “Ground” mkadhihirishe kuwa ni mfano bora kwa wanachama na wananchi mnaotaka kuwaowaongoza. Mkifanya hivyo mtakubalika na kuungwa mkono na wananchi na jamii kwa ujumla. Na hivyo basi chama chenu kitaimarika na kitanufaika.
 
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
kigezo nikuogopwa na ccm hadi kubambikiziwa kesi ya ugaidi
 
Huu ndiyo utaratibu wangu ukija kwa nidhamu utajibiwa kwa nidhamu ukija kihuni takujibu kihuni pitia post yake alivyoanza kunishambilia.
Hapana mkuu mtu akukujambia, wewe usimjambie, ziba pua.
 
Ulikuwa unaishi bongo wakati wa uchaguzi 2020?
Kama jibu ni ndio,na ukuona ule "uchafuzi"basi haustahili kuwa uraiani inabidi uwe hospitari ya vichaa milembe,maana kichwa yako haipo sawa
2019 na 2020 hapakuwa na uchaguzi Tanzania?

Mbunge wa Nkasi Kaskazini Bi. Aida Khenani anawakilisha chama gani bungeni?

Wale madiwani 85 wa CHADEMA kwenye Halmashauri walishinda kwenye UCHAGUZI gani?
 
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Vigezo ni kuwa ule ulikuwa uchafuzi tangu sirikali mitaa, na hata ulifuata uchafuzi mkuu, ambao kwa masada wa mbeleko saidizi zilifanya uporaji na ili kuhalalisha uporaji mbeleko zikaona zimwache mmoja.
 
UCHAGUZI wa 2015 Urais upinzani ni “UKAWA” au Chadema? tuanzie hapo!
 
CCM itaondolewa madrakani kwa sera nzuri za upinzani, upinzani wenye nguvu na ushawishi kwa umma, upinzani wenye uwezo na nguvu ya kuongoza nchi sio kwa “Space” au “Club House”.
Ndiyo maana tunashauri Tanzania vyama vya upinzani vizaliwe upya na kufanya siasa za zenye tija.
 
Sikia wewe punguania hili ni jukwa huru usinipangie cha kuandika kama unakereka kaa kimya kwanu lazima usome posts zangu watu mnatuhumiwa kwa Ugaidi badala ya kutulia mnaenda kufanya fujo Kanisani kweli jamani?
Wewe na nawe punguani kweli. Watu wanakuonea huruma na kukushauri ujistri na upumbavu wako unaokudhalilisha hapa JF bado umekaza shingo tu.
 
CCM itaondolewa madrakani kwa sera nzuri za upinzani, upinzani wenye nguvu na ushawishi kwa umma, upinzani wenye uwezo na nguvu ya kuongoza nchi sio kwa “Space” au “Club House”.
Ndiyo maana tunashauri Tanzania vyama vya upinzani vizaliwe upya na kufanya siasa za zenye tija.
Kwatisho la nguvu yao mmeamua kuwabambikia ugaidi,licha ya uonevu namanyanyaso ya kila siku wanayofanyiwa na wenye roho mbaya kama wewe kwa lengo la kulinda maslahi yenu myapatayo katika uovu wenu.
 
Wewe unafikiriaje ?tuanzie hapo?
Chadema bana Mkija kwenye kampeni mnasema kwamba CCM tangu 1962 wameshindwa kuwatoa watanzania katika wimbi la umasikini, tuwachague ili mtuletee MAENDELEO.

MAENDELEO miaka takribani 28 nyie wenyewe mmeshindwa kujiletea maendeleo hata kujenga Ofisi za chama.
 
Wewe na nawe punguani kweli. Watu wanakuonea huruma na kukushauri ujistri na upumbavu wako unaokudhalilisha hapa JF bado umekaza shingo tu.
CHAMA kilichokusanya michango ya wananchi na RUZUKU za mabilioni ya shilingi miaka takribani 20 kikashindwa hata kujenga MAKAO MAKUU (Headquarters) ndicho kina uwezo wa kuendesha nchi?
Chama ambacho kinaendeshwa KIFALME sauti yenye NGUVU ni moja tu Mbowe.
 
Mateka wa Mbowe njooni tufanye mjadala matusi ruksa mkizidiwa hoja.
 
Wewe na genge lako pamoja na hujuma zote, uonevu na manyanyaso ambayo kwa kipindi kirefu yamekuwa yakiratibiwa na mbeleko zenu saidizi tangu policcm na akinaneck na wengineo unauonaje mziki wa mnaowanyanyasa, kila siku jasho plus kamasi nyingii . Na bado wasiwasi kama mnatupa maandazi porini.
CHADEMA ya sasa hata kukiwa na Katiba Mpya na Tume Huru Ya Uchaguzi Polisi Huru Vyombo vya Dola Huru na Uchaguzi Huru na Haki hakina uwezo wa kushindana na CCM kwa upande wa Tanzania Bara.
Katika wabunge takribani 280 wakipata 80 tu nakunywa sumu nife!
 
Ni jambo jema kusikia unakiri kumbe kwa sasa hatuna tume huru. Hongera kwa hilo.
 
[/QUOT

Tunakuamini je,kama hata account imeundwa Jana kwa ajili ya kujisafisha, kwa mzalendo wa kweli anapisha pale anapotuhumiwa ili kupisha uchunguzi huru na kukubali kuwajibika.
 
CHADEMA ya sasa hata kukiwa na Katiba Mpya na Tume Huru Ya Uchaguzi Polisi Huru Vyombo vya Dola Huru na Uchaguzi Huru na Haki hakina uwezo wa kushindana na CCM kwa upande wa Tanzania Bara.
Katika wabunge takribani 280 wakipata 80 tu nakunywa sumu nife!
Tunakuamini je,kama hata account imeundwa Jana kwa ajili ya kujisafisha, kwa mzalendo wa kweli anapisha pale anapotuhumiwa ili kupisha uchunguzi huru na kukubali kuwajibika.[/QUOTE]
 
Ni jambo jema kusikia unakiri kumbe kwa sasa hatuna tume huru. Hongera kwa hilo.
Tunachopaswa kujifunza ni nini? Harakati za twitter zina matokeo tofauti sana kwa “Ground” ndiyo maana tangu UCHAGUZI MKUU 2020 kuisha na wananchi kuitwa na kushindwa kujitokeza kwenye maandamano tulibadilisha aina ya Harakati.
Kwa sasa tupo twitter na “Ground” kazi inaendelea!
 
Back
Top Bottom