Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Pale kinondoni ccm kura zilipigwa cku moja kabla ya zoezi lenyewe.Tundu Lisu alipata 13% ya kura zote za Rais!
Wanajiita hivyo kwa sababu ni 'provocative, confrontational and aggressive in the political battle fields'Wanaukumbi.
CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?
Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.
Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.
Uchaguzi Mkuu 2020
Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.
CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Ulikuwa unaishi bongo wakati wa uchaguzi 2020?Wanaukumbi.

Si mlimpa hizo ETI mnayo roho ya mwendazake,nileteeni Gwajima Sasa!Tundu Lisu alipata 13% ya kura zote za Rais!
Aksante kumpasha. Kumbe naye anajua Covid-19 siyo wabunge ila ni watenga chai wa CCM bungeni.Leo umekubali kuwa wale 19 ni ma secretary wa Ndungai amewapa ajira bungeni.
Mimi sikuwepo wewe uliokuwepo ni jibu kwa nini mnajiita chama kikuu cha upinzani mmetumia vigezo gani?Ulikuwa unaishi bongo wakati wa uchaguzi 2020?
Kama jibu ni ndio,na ukuona ule "uchafuzi"basi haustahili kuwa uraiani inabidi uwe hospitari ya vichaa milembe,maana kichwa yako haipo sawa
kaondoe funza kwanza kwenye mukichwa yko uweze kufikiriWanaukumbi.
CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?
Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.
Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.
Uchaguzi Mkuu 2020
Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.
CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Wanaukumbi.

unamfuatisha kigogo mumeo? naona unatumia misemo yakeINTARAHAMWE mmehamasisha watu wasitoe sadaka makanisani halafu mnasema mnakwenda kanisani kufanya maombi? Hivi mko sawa kweli?
unaweweseka?Wanaukumbi.
CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?
Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.
Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.
Uchaguzi Mkuu 2020
Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.
CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Wanaukumbi.
CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?
Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.
Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.
Uchaguzi Mkuu 2020
Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.
CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Wewe ni kenge kweLiWanaukumbi.

kumbe mnaminyana wakati hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaie tena chama kikuu cha upinzani?Wewe ni kenge kweLi
Uchaguzi ule uliochafuliwa na jiwe lililopotea?
Ule ulikuwa ni uchafuzi na si uchaguzi
Na kinachofanya sisiemu iwang`ang`anie wale covid 19 ni nini?
Nilidhani hata kama ni jina ni bandia Ritz, uko fit kichwani kumbe ni std seven failure. Nilitegemea uweke arguable post.... KwaheriNajua una hasira na mimi sababu namtafuna bi mkubwa wako hamna namna vumilia tu
Umewhaishiwa hoja unaanza matusi wee jamaa.Najua una hasira na mimi sababu namtafuna bi mkubwa wako hamna namna vumilia tu
Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, Chadema ina wafuasi wengi kuliko chama chochote cha Siasa Tanzania ikiwamo CCM yenyewe 😂 😂Wanaukumbi.