CHADEMA wasitafute mchawi 2025 watakapopata kura moja

hayo malalamiko yao yatafanya wabunge waliopita bila kupigwa 2020 wapewe chadema!?
Dj anajua hana chakupoteza ndio maana analamba asali wala hajali kitu.
 

Erythrocyte umeiona hii hapa ambayo ni pure n simple.
 
Haaaa chadema ni machizi walai ....nso wamejiunga na team wanya akili na kubakisha mafii kichwani....au kwa kifupi chawa wa mama
 
Sasa wakamponde magufuli jukwaani waonekitacho wakuta
 
Mana hapo kwanza nchekeh 🤣
 
Ila sijaona facts zako juu ya madai yako ya CDM kukosa kura kwa watanzania!!
 
Na endapo ccm inaweza kufanya uchaguzi huru bila vyombo vyengine kuingilia michakato ya uchaguzi mfano policcm, nec, tiss n.k.

Na bila ya kuteka na kupiga kura feki na kufanya dhulma yoyote inayoweza kupelekea uchafuzi nakuahidi kununulia simu yoyote ya kuanzia 100000tsh hadi 500000 tsh.
 
Mkuu natamani unipe. Shule kidogo kuhusu uchaguzi huo waspika naona mpaka leo wanachagua Mara ya nane bado McCarthy kura hazitoshi. Kwanini hawampi yule aliye na kura nyingi ushindi. Sasa si watakaa mwezi mzima bila kumpata spika
 
Mkuu natamani unipe. Shule kidogo kuhusu uchaguzi huo waspika naona mpaka leo wanachagua Mara ya nane bado McCarthy kura hazitoshi. Kwanini hawampi yule aliye na kura nyingi ushindi. Sasa si watakaa mwezi mzima bila kumpata spika
Ni mara ya saba sasa..A simple majority does not suffice according to the rules..ni lazima Kura zizidi nusu ya members waliopo House of Representatives ambayo ni 218... Wataendelea hivo hata mwaka mzima,hata mwaka mmoja..rekodi ni spika kuchaguliwa baada ya Kura kupigwa na kurudiwa mara 137 kama sikosei...

McCarthy hapati Kura kwasababu kwa SASA chama chake kina watu wenye mirengo tofauti,,kuna wanaojiita MAGA Republicans na hawa wa zamani kwa jina maarufu na la utani mitandaoni wanaitwa RINOs( Republicans In Name Only) .ningependa kuongelea kwa upana mirengo yao inahusu nini kiufupi hawa MAGA wamechoka kupelekeshwa..Wana mambo Yao wameyaweka mezani ambayo kama McCarthy atayakubali atakua spika,akiyakAtaa wataendelea kupiga Kura mpaka kuchere...

Hivyo ndio jinsi wenzetu wanavyoforce concessions,sio kuitwa ikulu na Kula vitumbua Kesho yake wanaanza kusifia kuachiliwa mikutano ambayo ni haki Yao ya kikatiba sio baraka za Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…