CHADEMA yaanza kutumia mbinu za kisasa kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Kalamu na Mask zenye maneno "TUME HURU" zaanza kusambazwa mitaani

CHADEMA yaanza kutumia mbinu za kisasa kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Kalamu na Mask zenye maneno "TUME HURU" zaanza kusambazwa mitaani

Mungu wabariki Wazungu
Nashangaa hukumwona mtani wako maarufu, ambaye habari yako hii kwa mara ya kwanza kakosa neno la kukwambia, kabaki akicheka tuu! Ikiwa alama kwamba hili limechoma penyewe hasa panapouma.

Hata kama ni bure lazima mlipie kodi hahahaha hiyo ni biashara ya Mbowe hahaha

Tuliwaeleza tokea zamani, siasa sio mikutano pekee; kuna njia mbalimbali za kufikisha ujumbe kwa wananchi.

Tuweke matumaini wananchi wataanza kusikia mliyo nayo ya kuwaambia, na hasa kuhusu huu uchaguzi wa Oktoba.

Litakuwa kosa kubwa sana kwa wananchi kumpa Magufuli ngwe nyingine kwa kura nyingi zaidi na wabunge wengi zaidi.

Hiyo kwake itakuwa ni ishara kwamba akaze uzi zaidi kunyima haki za yeyote asiyekubaliana naye.

Na hakika atakuwa na haki hiyo kama wananchi watamchagua kwa asilimia sitini na kumpa wabunge zaidi ya asilimia hamsini.
 
View attachment 1394118

Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .

Mungu ibariki Chadema
Hawana dira, sera ya tume huru ni kiini macho! Hata wakipewa nchi hawana hatamipango ya maana zaidi ya kuiuza kwa mabeberu! Hawa ni wapuuzi wa kupuuzwa! Ukinipa hiyo pen nitaitumia kuandikia kama bic tu na haitakuwa na maana yoyote zaidi ya kuwa na vino tu! Watatapatapa sana mwaka huu!
 
Mkuu uko timamu kweli ?
 
Huyu jamaa ni homeboy wa JIWE...!
Hawa jamaa Wana matatizo ya LUGHA iwe Kiswahili au English...ndo maana Magufuli mwaka huu anatimiza miaka 5 Ikulu lakini hajakanyaga Ulaya.. Tatizo lugha.

Wewe msikilize Jiwe akiongea Kiswahili chake ni very poor kimechanganyika na sijui Kisukuma au Kizirankende na huku anajiita Daktari msomi...!!Sijui Thesis yake aliandikiwa na Nani...Ni shiida!
Vipi mbowe na myika! Unajua sababu za madoctor kushindwa kukaa chadema ni nini!
Chadema ina 4m4 na six viraza.
 
Serious siku CHADEMA wakiwa Serious na KUACHANA na SIASA nyepesi nyepesi hii wataweza kudai iyo Tume .

CCM wanajua wanachokifanya , CCM walishawambia wana Dola naivo wapo upande wa FAIDA.

Nilitegemea kuona Sauti ikisikika , nilitegemea kuona Wale wabunge kutumia Ubunge wao ktk majimbo kushawishi WATU,,kutoa hamasa na uamsho ambao umefifia .

Sasa mnatumia bajeti yenu, kutengeneza Vikalamu ,...????

Sibora mngetengeneza vipeperushi vyenye kuelezea kindani ndani zaidi umuhimu wa kudai Tume, Katiba, na namna gan mwananchi anaweza kuipaza sauti yake kudai ilo?????.
Mkuu hivi ni Nani akikuambia kudai tume huru Ni kazi ya Chadema pekee au Vyama vya siasa tu?
Hujui kudai tume huru au Katiba Bora Ni jukumu la kila Mtaka amani Haki na maendelea ya Tanzania?
Mkuu nakuomba wewe Kama wewe Anza leo kudai tume huru kwa namna yeyote unayoiweza.
Iwe Ni jukumu letu some tusiwaachie Chadema peke yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1394118

Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .

Mungu ibariki Chadema
Du 👏👏👏👏👏👏👏👏💃💃💃hiyo poaaaaaaa sana.Home work kwao.Nakumbuka Wakati CDM walipotengeneza Tshirts za M4C na wao wakakimbilia nao kutengeneza.Tunasubiri waige nao watengeneze inayosema "Tume ni huru" maana wamezoea kufanyiwa nao ni wa copy,edit and then paste.
 
Mkuu hivi ni Nani akikuambia kudai tume huru Ni kazi ya Chadema pekee au Vyama vya siasa tu?
Hujui kudai tume huru au Katiba Bora Ni jukumu la kila Mtaka amani Haki na maendelea ya Tanzania?
Mkuu nakuomba wewe Kama wewe Anza leo kudai tume huru kwa namna yeyote unayoiweza.
Iwe Ni jukumu letu some tusiwaachie Chadema peke yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa kabisa.Tunaendelea kujifunza.
 
Serious siku CHADEMA wakiwa Serious na KUACHANA na SIASA nyepesi nyepesi hii wataweza kudai iyo Tume .

CCM wanajua wanachokifanya , CCM walishawambia wana Dola naivo wapo upande wa FAIDA.

Nilitegemea kuona Sauti ikisikika , nilitegemea kuona Wale wabunge kutumia Ubunge wao ktk majimbo kushawishi WATU,,kutoa hamasa na uamsho ambao umefifia .

Sasa mnatumia bajeti yenu, kutengeneza Vikalamu ,...????

Sibora mngetengeneza vipeperushi vyenye kuelezea kindani ndani zaidi umuhimu wa kudai Tume, Katiba, na namna gan mwananchi anaweza kuipaza sauti yake kudai ilo?????.
Kila kitu kina plan yake.Anza kidogo halafu taratibu panda taratibu bila kukurupuka.Ukitengeneza vipeperushi watakuita wewe ni mchochezi na lazima uombe kibali kutoka kwao na kamwe usitegemee kupewa najua.Huu ni mwanzo mzuri
 
Back
Top Bottom