ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Polisi wangeshatoa tamko, vitisho na kejeli kuyazuiaSahivi mbowe angekua ndani, Tanzia zingeshaandikwa za kutosha, wavaa uniform wangekuwa mbele ya makamera na virungu vyao kutishatisha watu....
Till he/she KNOWS THE BULL DOG is toothless! If he/she cannot know or notes that, then they will go on FEARING that "toothless bull dog AU SIYO!?How can one be afraid of a toothless bull dog?
mbona mm ninacheo kikubwa tuu kwenye kikundi chenu.Kama mamluki ulifuata mini kwenye kikao chao,huoni ungeweza kuwa sababu ya uvunjifu wa amani.
SijuiNdugu, kama unayo clip yoyote uonayo ni ya UCHOCHEZI, hebu tuwekee hapo, nasi tuuone.
Ndugu, hebu tuweke ka-clip basi tuione hiyo mitusi.Wametoa matusi au vitisho kwa mkuru au wanafaya yao kisha wanasepa?
Zamani mlikuwa hamuwezi kufanya mkutano bila kumtaja magufuli trna kwa matusi na vitisho.
Sas kwa hiyo mikoa mmemtaja samia mara ngapi ili tujue kama mmetukana kisha mkaachwa?
Ingekuwa hivyo visingetumika vikosi vyote hivyo kumdhibiti kutoka ardhini, majini na angani.How can one be afraid of a toothless bull dog?
Pole ndugu, utakapokuwa mkubwa ujifunze kuwa na tahadhari na mambo ya kusikiasikia tu.Sijui
Samahani, hebu nyoosha hiyo sentensi ili uelewekeAlitaka, mlimtukuza wenyewe kwa KUJIPENDEKA tu! Msimsingizie marehemu wa Mungu.
Sasa hujaelewa ni ostrichegg! Au ni kutokana na jina lako, hivyo unakuwa mzito kuelewa vitu vidogovidogo!?Samahani, hebu nyoosha hiyo sentensi ili ueleweke
Wasira alisema CHADEMA itakufa kabla ya 2025, sasa amekufa yeye kisiasa. Yupo hapo Msasani anagongea glass za gongo!Hakuna binadamu yoyote yule atakayejaribu kuihujumu Chadema na akabaki salama.
ukisikia kuachwa samaki ajikaange ndio hiyo.Chadema na vyama vingine vya siasa vimeachwa viendelee na shughuli zao, ili watapoangukia pua mwaka 2025, wasije na lawama za kuzuiliwa kufanya mikutano na mizunguko yao. Nadhani safar hii lawama zao watazihamishia kwa tume na katiba mpya. Kwa style hii ya uongozi wa mama uliotukuka, lazima viongozi wa upinzani watangaze kususia uchaguzi ili kuficha aibu watakayokumbana nayo mwaka 2025. Uongozi wa mama anatumia zaidi akili, utu, upendo na ujasiri, pia anatatua kero za wananchi wake, na hapindishi pindi sheria wala kuvunja katiba.
SI KWAKUWA WAMEKUA NA ADABU KUUBWAA? KIPINDI CHA NYUMA MIKUTANO YAO ILIJAA VITISHO NA MAANDAMANO. WATU WALITAMANI MAANDAMANO HADI MSIBANII, KWAHIO WAMEKUWAHapana, hapa hakuna wa kuulizwa, siyo Polisi wala RCs au DCs! Wakuulizwa hapa ni Mbowe na CHADEMA yake! Kulikoni mbona sasa anafanya SIASA za "kiustaarabu" tofauti na hiyo miaka ya nyuma enzi za JPM? Jibu ni rahisi, CHADEMA, kwa sasa wameshika adabu, hawawezi kudiriki kufanya upuuzi wao uliopelekea kufungiwa kufanya siasa, ikiwa ni pamoja na mikutano ya hadhara. Wameshika adabu kweli kweli, na wakidiriki kurudia upuuzi wao wa siku za nyuma, watakiona CHA MTEMA KUNI. Huyu SSH hana mchezo.
Mkuu, wapinzani wapo vile vile, hawajawai kutukana Mtu au kufanya uchochezi wowote! Kuhamasisha maandamano na watu kuandamana ni haki ya kikatiba!Hapana, hapa hakuna wa kuulizwa, siyo Polisi wala RCs au DCs! Wakuulizwa hapa ni Mbowe na CHADEMA yake! Kulikoni mbona sasa anafanya SIASA za "kiustaarabu" tofauti na hiyo miaka ya nyuma enzi za JPM? Jibu ni rahisi, CHADEMA, kwa sasa wameshika adabu, hawawezi kudiriki kufanya upuuzi wao uliopelekea kufungiwa kufanya siasa, ikiwa ni pamoja na mikutano ya hadhara. Wameshika adabu kweli kweli, na wakidiriki kurudia upuuzi wao wa siku za nyuma, watakiona CHA MTEMA KUNI. Huyu SSH hana mchezo.
Ndiyo mana watu wanawaona nyie mataga hamna akili au wapumbavu(sorry to say that) , hivi baada ya mdhalimu mwendazake kufa ambaye alizuia vyama vya siasa hasa upinzani kufanya siasa, sasa watu wako huru na katiba inafatwa ila wew bado unataka aulizwe Mbowe?Lete HOJA ndugu, wacha vineno visivyo na tija humu JF kijana!
Taasisi ipi hiyo mkuu,itaje tunahamu Nate huyo mzalendohuyo shetani ana litoto lake moja lipo taasisi moja serikali, lina roho iliyomrithi baba yake 100%
Unaota wewee!!CCM bado itasalia kuwa Madarakani siku zote
Endeleeni tu kucheza ngoma ya CCM
Kwa sasa mumekuwa wasitarabu hadi mumependeza. Lugha zenu na siasa za uana harakati mumeimprove pakubwa saanaa. Tumieni lugha nzuri na zenye sitaha mtapendeza zaidiiiPole ndugu, utakapokuwa mkubwa ujifunze kuwa na tahadhari na mambo ya kusikiasikia tu.
Yafaa uwe unatumia japo muda kidogo kuyatafakari kwanza kabla ya kuyashupalia.