The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
View attachment 3360975
Mtakimbiana wenyewe hii October
Wanakuambia ni kenge na waleviWenzako wanakuambia hao sio wapiga kura, sasa sijui ni wapiga ramli ?
Kizinkazi itakuwa funga kazi.No reform no electionMkija mwanakwerekwe tunawatupia majini
Kizinkazi itakuwa funga kazi.No reform no electionMkija mwanakwerekwe tunawatupia majini
Pressure inapanda pressure inashuka🤣Hawa gawako mtandaoni ndiyo wanaomnyima usingizi Mtoto wa Kizimkazi johnthebaptist
ngoja tusubiriMtakimbiana wenyewe hii October
Aisee sasa itajuwaje Sa100Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
View attachment 3360975
#No reforms No election😂😂 wanaosema cdm inakufa huwa wanatangulia wao na kukiacha
Teh teh masikini mmebaki na ka kikundi mfyuuu
Labda wapiga nyetoWenzako wanakuambia hao sio wapiga kura, sasa sijui ni wapiga ramli ?
Duuh hizi photo mtasababisha watu waumwe
Huyu siku zake zinahesabikaAisee sasa itajuwaje Sa100
ugumu utakuwa wapi wakati CHADEMA na wapiga kura wake hawatashiriki uchaguzi, vyama 18 ndyo vitasumbuliwa na chama kimoja cha CDM?, hizo ni illusionsChadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
View attachment 3360975
Huyu jamaa akipewa Tsh 7500 anachanganyikiwa kabisaKuna haka kajamaa Tlaatlaah unaweza kusema Kalikuwa katunzi ka marehemu komba.
Ni kaongo hutazi wale komba wanaolewa kwenye minazi zile pombe
View attachment 3361010