Kila siku nasema apa mama anashauriwa vbaya... kudharau nguvu ya Chadema ni kujitengenezea mazingira ya kuaga jumba jeupe....bado ana nafas ya kuzungumza na wapinzani wa kweli (Chadema)
Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi. View attachment 3360975
Kuna haka kajamaa Tlaatlaah unaweza kusema Kalikuwa katunzi ka marehemu komba.
Ni kaongo hutazi wale komba wanaolewa kwenye minazi zile pombe View attachment 3361010
Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi. View attachment 3360975
Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi. View attachment 3360975
Leo vegetables walikua Moshi Kilimanjaro kinyonge sana siku hizi hata drones hawarushi tena asante wajumbe hakika ile January 21 itaingia kwenye kumbukumbu ya hiki chama hapo TAL mwana wa Tanganyika yupo Ngome ila vijana wanatamdaza draft ile Mbaya Mwamba ameshasahaulika kabisa kumbe inawezekana chama kikaemda bila kuleta u Goat
Masisiemu yanashangaa yanona Stop hayaelewi yaelekee wapi